Natamani iwe ivo manake nimechanganyikiwa saiv apaItakuwa mtandao mkuu wafuate ofsn
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Pesa haiwez potea
Kadi yangu sijawai kumpa mtuKama hujatumia usiwe na shaka. Watembelee siku ya kazi upate uhakika. Usikute shemela kafanya yake kwa kutumia kadi.
Nataman iwe ivoHata hujasema umetoa kiasi gani! Lakini ninachojua kama kuna makosa yamefanyika watarudisha ndani ya saa 24 katika siku za kazi.
Ngoja nicheki salio na mimiNimeongea na Huduma kwa Wateja wananiambia kuna mtu alienda akachukua fedha jumatatu zaidi ya milioni 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshaibiwa ghafla haraka toa taarifa kwenye matawi wanayofungua jp piga sim usichoke umeibiw nasisitiza.Nimetoka kutoa pesa sasa hivi crdb ila Salio langu limepungua Sana .... Toka milioni 4 hadi laki moja na kitu.,,, nimejaribu kupiga namba zao hawapatikani na ofisi zilishafungwa., Je hili ni tatzo la mtandao ama ndo ivo ela imeshaibiwa? , kwa anayejua utaratibu wa kufuata naombeni pia anifaamishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili linaweza kutokea pia. Kuna jamaa aliwamind sana benki kwa tatizo kama hilio. Walipoamua kucheck kwenye security camera akaonekana shemela ilibidi aombe radhi kwa meneja yaishe.Usikute shemela kafanya yake kwa kutumia kadi.
Aiseee hawa akina shemela sina hamu nao daaahHili linaweza kutokea pia. Kuna jamaa aliwamind sana benki kwa tatizo kama hilio. Walipoamua kucheck kwenye security camera akaonekana shemela ilibidi aombe radhi kwa meneja yaishe.
Huku m4 mara customer care wanadai kuna mtu j5 katoa m5. Au huna kumbukumbu vizuri. Request bank statement kukomfem transaction zako wakati unasubiri clarification toka kwa bank Teller.Nimetoka kutoa pesa sasa hivi crdb ila Salio langu limepungua Sana .... Toka milioni 4 hadi laki moja na kitu.,,, nimejaribu kupiga namba zao hawapatikani na ofisi zilishafungwa., Je hili ni tatzo la mtandao ama ndo ivo ela imeshaibiwa? , kwa anayejua utaratibu wa kufuata naombeni pia anifaamishe
Sent using Jamii Forums mobile app