napita tuu!!!??
Dumelang niache mi nipite!!:llama:tena nlishafka mtaa wa saba!!!
Ahh! Princess enny! Usijifarague bana..sema tu neNo kwa kijana yanini kujipitisha? Erotica na Kaunga wao wameamua kumchapa maswali kijana, hawajamjibu kama wako tayari au la!
Mie mie langu neno ni ...KILA LA KHERI KIJANA PANAPO MAJAaLIIWA, NJOO USHUKURU JAMVINI
NAELEKEA MTAA WA PILI JAMANI.
Dumelang niache mi nipite!!:llama:tena nkishafka mtaa wa saba!!!
:israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel:
Haya Mama Sala.. salaam zao Dalisalamu...aah sory mtaa unaokwenda, ukirudi pitia Bana utusalimu hapa..lol 🙂
Haya bwana sisi weusi ndo hatuna market
Tukipaka carolite, mnatunyanyapaasio swala la market,kipendacho roho hula nyama mbichi.