Salim Kikeke..............@ BBC

Samadu Hassan wa Statv naye ni bingwa sana wa International news ambapo watangazaji wengi wa tanzania hawawezi nahisi sababu ya lugha. Watangazaji

Zamani Samadu nilikuwa namsikia Kenya. Hata John Karani wa Kiss FM. Kwani wote ni wakenya?
 
Samadu Hassan wa Statv naye ni bingwa sana wa International news ambapo watangazaji wengi wa tanzania hawawezi nahisi sababu ya lugha. Watangazaji

Mkuu:Samadu Hassan yeye hutangaza kwa lugha ya Kiingereza hizo habari za kimataifa...?
 
Aliniudhi tu pale alimpomtelekeza Rukia Mtingwa na Watoto! Mia
<br />
<br />
aisee salym kala hii makitu? Da rukia ana sauti ya mahaba tena kwa bed akilalama aisee...nafkri salym labda alipata totozi kali zaidi...not bad hata mie ningembwaga rukia..acheni kabisa kuna totozi unakutana nayo wallahi wallahi break ya kwanza lazma uwahi uvinza...
 

Kwanza nimekuunga mkono kwa kuipenda thread yako halafu nilikaa na kutafakari kuhusu huyu Salim Kikeke, huyu Bw alikuwa mtangazaji kama sijasahau kiasi hicho alikuwa ITV/Radio One.

Kuwa mtangazaji wa BBC kwanza unakuwa na uhakika wa maslahi. Hata akitabasamu anapendeza hatabasamu kwa unafiki, akiweka pause ni pause la kupumua siyo pause la kufikiria ukitoka hapo utaenda kula nini!!! Waajiri wetu sera yao ni UNYONYAJI TU kuhakikisha mwajiriwa hapati fedha za kumuwezesha kuishi japo wiki moja.

Employers in Tanzania do make sure their employees do get as little amount to sustain for a week as possible, this is their policy.
 
follow him on twitter our home boy Salym
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…