BARD AI JF-Expert Member Jul 24, 2018 3,407 8,183 Sep 11, 2023 #1 Mtangazaji Salim Kikeke amechukuliwa rasmi na Kituo cha Radio na TV cha E FM na TVE ikiwa ni miezi 5 tangu alipoachana na BBC ya Uingereza. Vipi huu usajili huu Majizzo katisha au Kikeke kachemka? Your browser is not able to display this video.
Mtangazaji Salim Kikeke amechukuliwa rasmi na Kituo cha Radio na TV cha E FM na TVE ikiwa ni miezi 5 tangu alipoachana na BBC ya Uingereza. Vipi huu usajili huu Majizzo katisha au Kikeke kachemka? Your browser is not able to display this video.
mkushi wa kushi JF-Expert Member Apr 27, 2021 647 963 Sep 11, 2023 #2 Kachemka sana alipofikia alitakiwa tbc au azam
DR HAYA LAND JF-Expert Member Dec 26, 2017 18,282 46,281 Sep 11, 2023 #3 mkushi wa kushi said: Kachemka sana alipofikia alitakiwa tbc au azam Click to expand... Wenzio wanaangalia pesa na sio sifa Kama adam mchomvu
mkushi wa kushi said: Kachemka sana alipofikia alitakiwa tbc au azam Click to expand... Wenzio wanaangalia pesa na sio sifa Kama adam mchomvu
Jaji Mfawidhi JF-Expert Member Feb 20, 2016 14,109 20,490 Sep 11, 2023 #4 BARD AI said: Mtangazaji Salim Kikeke amechukuliwa rasmi na Kituo cha Radio na TV cha E FM ba TVE Click to expand... Wacha EFM waongeze wataaaluma si yule KITENGE anazeeka na kuzidi kuwa mpumbavu badala ya kuwa mweledi kwa kipande cha fedha za waarabu.
BARD AI said: Mtangazaji Salim Kikeke amechukuliwa rasmi na Kituo cha Radio na TV cha E FM ba TVE Click to expand... Wacha EFM waongeze wataaaluma si yule KITENGE anazeeka na kuzidi kuwa mpumbavu badala ya kuwa mweledi kwa kipande cha fedha za waarabu.
O Oga Sabinus JF-Expert Member Jul 18, 2022 471 1,396 Sep 11, 2023 #5 Maisha ni yake na uamuzi ni wake na ni yeye anaejua nini anataka na ni kipi hataki.
S Shakir JF-Expert Member Jul 31, 2012 1,602 1,820 Sep 11, 2023 #6 Jaji Mfawidhi said: Wacha EFM waongeze wataaaluma si yule KITENGE anazeeka na kuzidi kuwa mpumbavu badala ya kuwa mweledi kwa kipande cha fedha za waarabu. Click to expand... Kitenge yupi huyo alieko EFM?
Jaji Mfawidhi said: Wacha EFM waongeze wataaaluma si yule KITENGE anazeeka na kuzidi kuwa mpumbavu badala ya kuwa mweledi kwa kipande cha fedha za waarabu. Click to expand... Kitenge yupi huyo alieko EFM?
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Feb 4, 2015 17,112 18,510 Sep 11, 2023 #8 Wewe ndo umechemka, ulitaka akae bila kazi?
Mchizi JF-Expert Member Apr 23, 2009 2,620 6,061 Sep 11, 2023 #9 Amejiunga au amealikwa kwenye uzinduzi wa studio mpya?
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Jun 15, 2013 9,146 6,056 Sep 11, 2023 #10 BARD AI said: Mtangazaji Salim Kikeke amechukuliwa rasmi na Kituo cha Radio na TV cha E FM na TVE ikiwa ni miezi 5 tangu alipoachana na BBC ya Uingereza. Vipi huu usajili huu Majizzo katisha au Kikeke kachemka? View attachment 2745586 Click to expand... Huyu dogo mwishowe atakuja kuwa mtangazaji wa mtaani tu kwenye Wasafi Radio
BARD AI said: Mtangazaji Salim Kikeke amechukuliwa rasmi na Kituo cha Radio na TV cha E FM na TVE ikiwa ni miezi 5 tangu alipoachana na BBC ya Uingereza. Vipi huu usajili huu Majizzo katisha au Kikeke kachemka? View attachment 2745586 Click to expand... Huyu dogo mwishowe atakuja kuwa mtangazaji wa mtaani tu kwenye Wasafi Radio
Shin Lim JF-Expert Member Mar 27, 2012 7,063 12,632 Sep 11, 2023 #12 Ukweli ni kuwa hajaajiriwa EFM, alialikwa kuzindua studio mpya yeye, na wakongwe wengine akina Betty Mkwasa.
Ukweli ni kuwa hajaajiriwa EFM, alialikwa kuzindua studio mpya yeye, na wakongwe wengine akina Betty Mkwasa.
uhurumoja JF-Expert Member Mar 2, 2014 5,377 9,708 Sep 12, 2023 #13 Kama kaajiriwa hapo itakuwa poa ule utaratibu wa kituo kimoja kuwa na watu wote Bora kunaua tasnia na ubunifu Sasa mtu unaweza kusikiliza au kuangalia tv na radio mbali mbali bila kuchoka kwangu itakuwa poa sana
Kama kaajiriwa hapo itakuwa poa ule utaratibu wa kituo kimoja kuwa na watu wote Bora kunaua tasnia na ubunifu Sasa mtu unaweza kusikiliza au kuangalia tv na radio mbali mbali bila kuchoka kwangu itakuwa poa sana
Adlo Senior Member Jul 15, 2022 197 238 Sep 12, 2023 #14 Anaenda kupotea kaenda media ya ovyo vipindi ni kelele tupu , kakosa kweli media nzuri ya kwenda.