H haki8 Member Joined Jun 7, 2016 Posts 26 Reaction score 35 Jul 13, 2016 #1 Wana janvi nimepewa tenda ya kuuza kondom mpya kwa mwezi laki tisaa but lazima niuze carton 60 kwa mwezi je ni sawa??
Wana janvi nimepewa tenda ya kuuza kondom mpya kwa mwezi laki tisaa but lazima niuze carton 60 kwa mwezi je ni sawa??
H haki8 Member Joined Jun 7, 2016 Posts 26 Reaction score 35 Jul 13, 2016 Thread starter #2 Sasa si unishauri
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,731 Jul 13, 2016 #3 Hiyo laki tisa ni mshahara?
J jackson charles bullet Member Joined Mar 11, 2016 Posts 53 Reaction score 45 Jul 13, 2016 #4 hizo carton utamuuzia nani watu cku hizi wanaenda peku peku
Jahlex JF-Expert Member Joined Sep 23, 2013 Posts 512 Reaction score 604 Jul 13, 2016 #7 Nani ananunua hiyo midude siku sizi, vaa mwenyewe tu braza!
L LIZZYBETTY Member Joined Jul 23, 2015 Posts 48 Reaction score 8 Jul 13, 2016 #8 Jitaidi peleka kwenye magesti unaweza ukatoka
Lyamber JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 11,737 Reaction score 18,920 Jul 13, 2016 #9 Mimi naona ni sawa tu piga hesabu 900,000÷60 utajua unalipwa shillingi ngapi pia kwenye mahoteli,lodge etc ndo kwenyewe huko...
Mimi naona ni sawa tu piga hesabu 900,000÷60 utajua unalipwa shillingi ngapi pia kwenye mahoteli,lodge etc ndo kwenyewe huko...