Wee chengaaa kweliii yamakatumaa email,wee unaombaa kazi hukuuHabar, naomba kazi ya afisa mauzo na masoko nina diploma ya mechanical engineering (ufundi mitambo) pia Nina ujuzi wa IT (Information Technology) kama kuunda tovuti (website), graphics design, social media management, digital marketing, naweza kuandaa maudhui ya mtandaoni kam Facebook, Instagram na Mitandao mingine kuwashawishi wateja....nipo vizuri mkuu...karibu tufanye kazi. Mawasiliano: 0756704145