Salary slip

hivi hamna namba za kuwapigia jamaa kwa ajili ya msaada wa mtu aliesahau password na haukumbuki email aliyotumia kujisajilia?
 
duh nilikuja mbio sana nikidhani ni yule member ya CDM na JF Mama kamteua kuwa Mkuu wa Wilaya?
nikawa na maswali kibao Salary Slip atakubali kweli au atakataa akiona ni sualiti wa uanaharakati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…