Salary slip na Mshahara kipi kinatangulia?

Sibonike

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Posts
17,297
Reaction score
18,046
Labda hii inawahusu zaidi watumishi wa umma.
Maana Tanzania yetu vitu vingi huwa vinaenda ndivyo sivyo.
Imekuwa kawaida kupata salary slip siku kadhaa baada ya misihara kutoka. Je hili lipo sawa?
Mantiki nzima ya salary slip ni nini? Ujue ulichopata au ujue utachopata ili kama kuna upungufu useme mapema waweke sawa?
 
Nadhani slip inaweza ikawa risiti ya ulichopata
 
Back
Top Bottom