Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Sawa mkuuhapo sibili hadi tarehe mbili au hadi saba ndio utapewa mkuu kikawaida mshahara ukisha toka huwa wanasumbua sana kukopa tena
Ni kitu gani hichi mkuu, kuuliza siyo ujinga. Natumia NMB ila sipo kwenye payroll naomba kueleweshwa hii salary advanved
Lazima uwe mtumishi wa umma na mshahara wako uwe unaingilia NMB.Ukiwa na shida unakopa NMB ,next salary wanakukata moja kwa moja. Unaweza kukopa kuanzia elfu 10 mpaka laki 5 , na mara nyingi unakopa isizidi 40% ya mshahara wako.
Je riba yake inakuwa percent ngapi?Lazima uwe mtumishi wa umma na mshahara wako uwe unaingilia NMB.
Hata CRDB wanayo.
Inasaidiaga sana hasa huo mwezi ukiwa na mahitaji makubwa ya pesa.
TERMS AND CONDITIONS FOR SALARY ADVANCEJe riba yake inakuwa percent ngapi?
Lazima uwe mtumiaji wa NMB MobileHivi hii kitu unafanyaje? Naisikiaga tu ila bado sijajua unafanyaje.
UnapewaInamaana ukiwa na mkopo tofaut na salary advance ukiomba mkopo unapewa
Oooh!!Lazima uwe mtumiaji wa NMB Mobile
Unabonyeza *150*66# okay
Unaenda kipengere cha Mikopo
Unaenda Salary Advance
Unakubali terms and conditions
Unaingiza amount unayotaka , chap inaingia kwenye akaunti yako ya NMB
IpoOooh!!
Inamaana ipo kwa NMB pekee? CRDB haipo?
Umeangalia salio kwenye account hawajakuwekea,Sawa mkuu
Menu haifiki mwisho. Hata hatua ya kuingiza kiasi sifikiUmeangalia salio kwenye account hawajakuwekea,