Wapwazz na BInamuzz hamjambo za asubuhi???
Mlilalaje??? Mmeamkaje??? Watoto wenu hawajambo??? Waume na wake zenu hawajambo??? Nimewamiss sana ndugu zanguni
Mie mzima kiasi nashangaa asubuhi yote hii nimepata kwikwi nina miaka sijapata kinanipa shida kweli hata kutype inasimama kwa sekunde kwikwi ikiija lol
Hakuna anayeoa/kuolewa siku za karibuni tena?? Nahitaji kuwa mhasibu mkuu kwa mara nyingine nimejikuta ninamiss kushika hela nyingi ambazi si zangu tehtehtehteh
Muwe na siku njema na kazi njema.
JS

Mie naibuku nafasi ya uhasibu kwenye arusi yako.Naona unafaa kuwa unayefuatia.Wapwazz na BInamuzz hamjambo za asubuhi???
Mlilalaje??? Mmeamkaje??? Watoto wenu hawajambo??? Waume na wake zenu hawajambo??? Nimewamiss sana ndugu zanguni
Mie mzima kiasi nashangaa asubuhi yote hii nimepata kwikwi nina miaka sijapata kinanipa shida kweli hata kutype inasimama kwa sekunde kwikwi ikiija lol
Hakuna anayeoa/kuolewa siku za karibuni tena?? Nahitaji kuwa mhasibu mkuu kwa mara nyingine nimejikuta ninamiss kushika hela nyingi ambazi si zangu tehtehtehteh
Muwe na siku njema na kazi njema.
JS
...nafikiria kuongeza mke,lol!Wapwazz na BInamuzz hamjambo za asubuhi???
Mlilalaje??? Mmeamkaje??? Watoto wenu hawajambo??? Waume na wake zenu hawajambo??? Nimewamiss sana ndugu zanguni
Mie mzima kiasi nashangaa asubuhi yote hii nimepata kwikwi nina miaka sijapata kinanipa shida kweli hata kutype inasimama kwa sekunde kwikwi ikiija lol
Hakuna anayeoa/kuolewa siku za karibuni tena?? Nahitaji kuwa mhasibu mkuu kwa mara nyingine nimejikuta ninamiss kushika hela nyingi ambazi si zangu tehtehtehteh
Muwe na siku njema na kazi njema.
JS
una vituko wewe....nackia bht ndio anaefuta, ngoja nidodose zaidi! lol
Miss u too ngoja nitafute mchumba nikipata tu utashika mijihela c vijisent sawa?
hakuwa mchumba yule Twinuska!pale nilipita tu dia ,ah ah ah,c men uwa wanasema hivyo?na mm nilipita tu hana lolote
jino kwa jino sio
sasa JS anataka kushika mahela......
inabidi uanze ww Twinuska me nikipata will let you knw
hakuwa mchumba yule Twinuska!pale nilipita tu dia ,ah ah ah,c men uwa wanasema hivyo?na mm nilipita tu hana lolote
twiniushka mchumba si AK-47 au umemtole nje...........
hakuwa mchumba yule Twinuska!pale nilipita tu dia ,ah ah ah,c men uwa wanasema hivyo?na mm nilipita tu hana lolote
Kwa hiyo umemchezea tu AK-47 na kumwacha, umemharibia maisha yake!
Kazi ipo!...nafikiria kuongeza mke,lol!