Hamza Temba
R I P
- Feb 10, 2017
- 20
- 4
Ndo yeye au ni JINA TU kufanana? Kama ndiye basi RIP.RIP na wewe Hamza Temba. Mungu aijaalie faraja familia yako.
Mkuu si unaona jina lake lishawekewa "RIP"Ndo yeye au ni JINA TU kufanana? Kama ndiye basi RIP.
POA chiefMkuu si unaona jina lake lishawekewa "RIP"
RIP Member mwenzetu wa Jf... inaumiza sana umeenda angali bado kijana.
RIP Ndugu yetu.... Leo uliamka kama sisi ila Jamani Umelala Mfu.