Salamu za pole kutoka kwa Rais Samia kufuatia kifo cha Jenista Mhagama

Salamu za pole kutoka kwa Rais Samia kufuatia kifo cha Jenista Mhagama

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
261
Reaction score
199
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama. Ninatoa pole kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu, wananchi wa Jimbo la Peramiho, familia, ndugu, jamaa na marafiki.

Kwa miaka 38, Mheshimiwa Mhagama amekuwa mwanachama mahiri wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kiongozi wa vijana, kiongozi wa wanawake, waziri katika awamu mbalimbali na mnasihi wa wengi katika siasa na maisha.

Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

IMG-20251211-WA0005.jpg
 
Maccm yanaenda JEHANAMU kizembe sana. Kisa tamaa ya fedha na madaraka. Yapo tayari kuroga, kuiba uchaguzi, kuua, nk nk. Mungu hadhihakiwi. Ingawa kifo kipo kwa wanadamu, lakini siku ya kufa mtu fulani Tanganyika itarindima kwa furaha.
 
Back
Top Bottom