ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 643
- 1,603
Kazi kweli kweli! Hivi nyie watu mnajua maana ya Breaking News kweli???!!!
ACT-TANZANIA
ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPERANCY.
Tunatoa salamu za Eid Allhaj kwa Watanzania na Waislam wote Duniani.
ACT-Tanzania tunawatakia mapumziko mema katika siku hii tukufu.
ACT-Tanzania Taifa Kwanza Leo na Kesho.
Imetolewa na
Neema John
Afisa Habari
076346370.
Salaam kwa Waislamu wote duniani? Watakusikia kweli? Au hizi ni njaa za kusaka kura?ACT-TANZANIA
ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPERANCY.
Tunatoa salamu za Eid Allhaj kwa Watanzania na Waislam wote Duniani.
ACT-Tanzania tunawatakia mapumziko mema katika siku hii tukufu.
ACT-Tanzania Taifa Kwanza Leo na Kesho.
Imetolewa na
Neema John
Afisa Habari
076346370.
Neema John
076346370.
ACT-TANZANIA
ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPERANCY.
Tunatoa salamu za Eid Allhaj kwa Watanzania na Waislam wote Duniani.
ACT-Tanzania tunawatakia mapumziko mema katika siku hii tukufu.
ACT-Tanzania Taifa Kwanza Leo na Kesho.
Imetolewa na
Neema John
Afisa Habari
076346370.
Hapana Neema anahitaji kukombolewa
act ndio mdudu gani.
Ni lile tawi la ccm lililo chini ya zzk kitila mkumbu na mwigamba liloanzishwa pale ujiji msikitini.