Salamu yangu kwenu wanawake

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
13,204
13,184
Enyi wanawake mliojaa huruma na mapenzi mema kwa waume na wapenzi na watoto wenu salam ziwafikie popote mlipo.
Nmegundua kuwa mwanamke ni mtu mhimu sana kwetu wanaume.
Mwanamke anauwezo wa kukutolea hasira zote.stres zote za madeni, anakuondolea upweke, anakutoa baridi na kukupa joto, hata kama yeye hana ham ya kufanya tendo anajilazim akufurahishe ww mwanaume.
Tunawajaza mimba na kuwatelekeza lakin baadaye mnasahau yaliyopita na kuendelea kutupa raha zaidi.

Mwanamke anakumbana na mitihani mizito sana ikiwa ni pamoja na kuingiliwa kinyume na maumbile,kupigwa mtungo, kusalitiwa lakin yoote hayo anayaweka kapuni na kuendelea kumstarehesha zaidi mwanaume.

JANA NILIANDIKA UZI WA KULIPA KISASI KWA KUMJAZA MIMBA MWANAMKE MMOJA ALIYENIDHALILISHA. LAKIN SASA SIFANYI HIVYO TENA.

Endeleen na moyo wa huruma na uvumilivu enyi wanawake. Bila nyinyi sijui tungeishia wapi sisi wanaume. Kwasababu mm ninapovurugwa tu kitu cha kwanza ni papuchi ndio dawa ya kuniondolea stress
cc charminglady na Heaven on Earth
 
Last edited by a moderator:
Ubarikiwe na uendelee na moyo huo huo,na wale wote waumizaji wabadirike wawe na moyo kama wako.akhsante kwa kutambua umuhimu wa mwanamke!
 
Nawashukurun nyoote kwa ushauri wenu japo wengne walikuwa wanatukana lakin yote ni namna ya kukemea ule uamuz niliyotaka kuuchukua. Asanten sana na leo hii naenda kuonana naye ili nimwambie ukweli asiwe na tumaini na mm barua siyo mahali
 
umefanya maamuzi mazuri huu tunauita ukomavu wa maamuzi na akili kila la kheri ila tu ondoa mawazo kuwa papuchi ni mwisho wa stress mtumaini M/Mungu yeye ndo mwisho waatatizo
 
hahahaaaa! Nikweli mkuu nashukuru
 
Enyi wanawake mliojaa huruma na mapenzi mema kwa waume na wapenzi na watoto wenu salam ziwafikie popote mlipo.
Nmegundua kuwa mwanamke ni mtu mhimu sana kwetu wanaume.
Mwanamke anauwezo wa kukutolea hasira zote.stres zote za madeni, anakuondolea upweke, anakutoa baridi na kukupa joto, hata kama yeye hana ham ya kufanya tendo anajilazim akufurahishe ww mwanaume.
Tunawajaza mimba na kuwatelekeza lakin baadaye mnasahau yaliyopita na kuendelea kutupa raha zaidi.

Mwanamke anakumbana na mitihani mizito sana ikiwa ni pamoja na kuingiliwa kinyume na maumbile,kupigwa mtungo, kusalitiwa lakin yoote hayo anayaweka kapuni na kuendelea kumstarehesha zaidi mwanaume.

JANA NILIANDIKA UZI WA KULIPA KISASI KWA KUMJAZA MIMBA MWANAMKE MMOJA ALIYENIDHALILISHA. LAKIN SASA SIFANYI HIVYO TENA.

Endeleen na moyo wa huruma na uvumilivu enyi wanawake. Bila nyinyi sijui tungeishia wapi sisi wanaume. Kwasababu mm ninapovurugwa tu kitu cha kwanza ni papuchi ndio dawa ya kuniondolea stress
cc charminglady na Heaven on Earth

Hongera sana Mkuu...
 
Last edited by a moderator:
Papuchiiii oyeeee.....!!!!!!!! Papuchi juuu juu juu sana!!!! Papuchi stress free... ngoja yiongeze dau..
 
Back
Top Bottom