mbishi2004
Senior Member
- Jan 26, 2014
- 134
- 28
mbishi,
Stupid aurgument, wewe unaonekana Zanzibar huijui unajuwa ulichosomeshwa kibasila secondary na ccm kwa mantiki hiyo hiyo unayosema kuwa viongozi wa Ccm wanayofanya. Wewe una kasumba na chuki ya warabu usingalisema hivyo wala huwajui warabu sisi tuliozaliwa na kukulia na kusoma Zanzibar na WaTanganyika waliozaliwa Tanganyika na wakakulia Tanganyika hasa Pwani tunawajueni nyinyi Watanzania bara kuliko mnavyozijuwa nafsi zenu, sisi tumeijuwa ajenda yenu na baba yenu wakambo tokea zamani na ndio maana siku zote upinzani dhidi ya Muungano na CCM unaanzia Zanzibar karibu miaka 50 sasa na nyinyi siku zote hadi tuwaaamshe kwa vile nyama choma na serengeti zilivyojaa vichwani mwenu mkageuzwa vilaza.
Kwanza karibu Zanzibar uje tukusomeshe historia yetu halisi, kisha tukuonyeshe na wewe uhalisia wako kisha ndio uingie mtandaoni kuzungumzia Zanzibar, nyinyi kama mnaitaka Tanganyika basi iondoeni.CCM tokeni hadhari mulikatae Bunge kuendelea kwani wale wabunge 400 wa CCM wasiotaka Tanganyika ireje waliwekwa na wingi gani madarakani kama nyinyi ndio wengi mnaoitaka Tanganyika? Nasema na mtuheshimu kwani sisi mantuhitaji kuirudisha Tanganyika na mamalaka yake kamili na msimamo wetu manujuwa vizuri anagalia hapa:
View attachment 147617
Hiyo ndiyo jawabu ya JK, sasa nyinyi M4Chuki hamuwezi kuwa ndumila kuwili eti.mnataka serikali 3 na Tanganyika halafu mnatujejea sisi wa upande wa pili wa muungano. Nyinyi ndio mlioshirikiana na CCM wakati wana CUF wanadai nchi yao mkawacheka wakati wanauliwa kule Micheweni. Sasa nanyi yanawakuta, Arusha, Iringa, Geita, Kigoma, Chalinze, na kwengineko "Mla kuku wa mwenzie miguu humuelekea"
Kwa kusoma chini ya mamalaka ya Jamhuri sisi hatushindani na nyinyi sababu huu Muungano ndio tukaukataa kwani kabla ya hapo 26/4/64 tulikuwa tuanongoza kwa Elimu kuliko nyinyi. Ushahidi hai ni Viongozi kama Mzee A. H MWINYI, Salim A. Salim, Marehem Abdulwakil na wengine wengi. Lakini sisi wa Zanzibari dhiki imetufunza mengi na tume survive na hii ni moja ya msingi wa elimu kwani imetufanya tujiendeleze wewnywe ndio.maana Kariakoo 2/3 tumeishika kwa Biashara na kwa uwezo tulionao tunaweza kuwageuzia kibao tukawatawala akili zenu kwa njia ya kufisidi matamanio yenu mlioyaweka mbele hamuutaki Muungano na bado munatia ufisadi Zanzibar. Kwani Zanzibar imiwa ni ya watu weusi, buluu, njano au nyekundu inakuhusu nini wewe? Kama mna lazima ya kila penye weusi ni kwenu nendeni Sudan Kusini, leo hii imetoka report mumewafukuza Watu weusi 5000 kuwapeleka Uganda jee wale ni Wapemba,mnasema Ugqnda ni kwao nao Waganda wamekataa kuwa hao sio kwao kwanini msiwazuie serikali kuwaondoa?. Double Standard zenu tunazijuwa vizuri.
CHADEMA KAMA MNATAKA NCHI 2015 ondoeni chuki za kidini na kikanda acheni kuichukia Zanzibar na hasa uislam. Adui yenu ni nyinyi wenyewe, The Enemy Within!
Asante
View attachment 147643
jawabu ya JK hiyo Kibanda maiti
Sikia ww ninaamin hujasoma na elimu yako ni ndogo,km mnamaanisha kuvunja muungano ,ondoken kabisa na huku,mm nawashanga sn nyie kutwa kulalamika lkn kutwa mpo bara sasa mnafanya NN,ondoken wote huku then uhuru wenu mkadaie huko kwenu.kwann mnadai uhuru then bado mpo huku,rudien kwenu wote,angalia idad ya wazenj waliokua huku na idad ya wabara waliokua huko,kongolo we
Last edited by a moderator: