Salamu kwa Wanzanzibar

Salamu kwa Wanzanzibar

twende kazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,520
Reaction score
461
Ndugu na majirani zetu Waunguja na Wapemba ninawasalimu Asalaam Alehykum,
Baada ya salamu ndugu zangu ningependa kuwataarifu kwamba tunashukuru sana kwa juhudi zenu zilizopelekea sisi kuamka na kudai Tanganyika yetu.Hakika nyinyi ni mashujaa wetu.

Hivyo basi jirani zetu kama walivyo Kenya na Uganda tunawaomba msifikirie chochote kuhusu Muungano wa serikali tatu au wa mkataba baina yetu ila kama mtapenda tukutane kwenye Jumuiya ya Afrika mashariki.Mwisho ninamalizia kwa kusema akufukuzae hakwambii toka.Ujumbe mmeupata.Ahsanteni.Alamsik.cc maalim Seif
 
Last edited by a moderator:
Mbona hilo sio shida, ila wa Tanzania bara hawaitaki Tanganyika so wanashikilia tukutane Dodoma ama sivyo nguvu ya dola itatumika.
 
Nani kakwambia?Watanganyika wote wanaitaka Tanganyika yao na itarudi tu kwa nguvu ya umma.Kwaiyo ndugu zetu mjiandae kisaikolojia.
 
Ina elekea hujui chochote kuhusu watanzania(watanganyika) na inawezekana unawafananisha watanganyika na wana CCM!Watanganyika hawaupendi,hawautaki,na wala hawana maslahi nao huu muungano,unawakera ukiwepo ,hauwadhuru usipokuwepo!
ni hii miccm ya bara na visiwani ndio inatuvuruga!
 
Me nimezaliwa 1970 Tanzania hao watanganyika ni wazee kwa sasa tutahama na Tanzania yetu. mimi siyo mtanganyika mimi ni mtanzania halisi.
 
Ina elekea hujui chochote kuhusu watanzania(watanganyika) na inawezekana unawafananisha watanganyika na wana CCM!Watanganyika hawaupendi,hawautaki,na wala hawana maslahi nao huu muungano,unawakera ukiwepo ,hauwadhuru usipokuwepo!
ni hii miccm ya bara na visiwani ndio inatuvuruga!

Najuwa vizuri kama wako watanganyika halisia wanaoitaka Tanganyika yao na wanathamini Zanzibar, lakini nyinyi wana M4C hamko wakweli na mkipata madaraka mtafanyaia Wazanzibari mabaya zaidi kuliko hao CCM.

Na tunawasikia kauli zenu hapa JF na kule Dodoma sisi tunawasikia ndio wakwanza mnataka Zanzibar ifute katiba yake na ifutwe hata katika ramani ya dunia kama nchi. Hamuwezi kuipata Tanganyika bila ya kuitambua Zanzibar kama nchi.

Mbona na 'wingi' wenu mnaoitaka Tanganyika mumeshindwa kuizuia CCM isifanye inavyotaka ndani ya Bunge la Katiba?

Shirikianeni na Wazanzibari na muwaheshimu na matarajio yao, ili zipatikane nchi zetu mbili na hapo baadae kama kukutana EAC, SADC or AU.
 
Hey !i am not party cat! so please dont M4C me! ila nakubaliana na the rest of hoja zako!mashirikiano,kuheshimiana na yalee makutano pendwa EAC,SADC or AU! kwa kukusaidia mimi ni chotara wa muungano ,baba upande mmoja mama upande mwingine ,the only victim katika hizi sarakasi!
 
hata muungano ukivunjika jina letu cc wa bara linabak hilihili Tanzania haijalish asil yake. Tutajiita JAMHURI YA WATU WA TANZANIA BARA TU.
 
Mbona hilo sio shida, ila
wa Tanzania bara hawaitaki Tanganyika so wanashikilia tukutane Dodoma
ama sivyo nguvu ya dola itatumika.

rekebisha hapo ni ccm ndio hawataki na siyo watanganyika.
 
Hey !i am not party cat! so please dont M4C me! ila nakubaliana na the rest of hoja zako!mashirikiano,kuheshimiana na yalee makutano pendwa EAC,SADC or AU! kwa kukusaidia mimi ni chotara wa muungano ,baba upande mmoja mama upande mwingine ,the only victim katika hizi sarakasi!

Wewe Chotara wa Muungano mimi ni chotara wa EAC but Zanzibar is where I was born and grew up and I am not a victim bcz I have a choice.
 
Very true bro ,we have a choice!
 
Mbona hilo sio shida, ila wa Tanzania bara hawaitaki Tanganyika so wanashikilia tukutane Dodoma ama sivyo nguvu ya dola itatumika.

Weka kauil vzur ww nan kasema watanganyika hawaitak tanganyika??? 99% ya watanganyika wanaitaka tanganyika na umeona hata kwa maandsh ya warioba,tatzo n viongoz wachache ambao hawataki kuvunja kwa maslaha ya chama,lkn raia km raia hawautak muungano,kwanza muungano wa NN kwa watanganyika??znz haina chochote cha kufamya mtanganyika aipende znz kwa maslah,wa znz wote wametawanyika bara na kufanya biashara,mm Leo hata nkienda znz ntafanya biashara gan??hakuna mzunguko wa pesa na ndomana raia hawautak muungano hata kuusikia chunguza vzur km unataka ukweli,kikwete anaulinda muungano kwa maslah yao na siyo ya raia,wa znz wanaamin kua watapata misaada ya waarabu wakijitenge,izo n akil mbovu,znz sio nchi ya kiarabu wala hawazungumz kiarabu!hakuna nchi itakayosaidia nchi bila manufaa,sudan,chad na nyingnezo ni nchi znazowaislam na znazungumza had kiarabu lkn angalia hal zao,nyie znz mnapja swahil100%,kwanza wa znz halis(weus) Hali Yao ni ngumu kimaisha na hao wa znz wakiarabu weng wao wanajiita wapemba si kwel wanajiita ivo il wapate acces ya biashara zao na weng maisha yao n mazur,lkn znz halis hana Hali na hata kuoa izo koo za waarabu hawawez wala kuru husiwa ,wanaoana wao kwa wao na waarabu kW waarabu,shule muhmu sana bora kufa maskin kuliko kutokua na elim,muungano uvunjwe na mtoke huku mkalundkane kwenu kisha w znz halis muanze kubaguliwa na waarabu wahamiaji wanaojiita wapemba
 
Ngoja tusubiri mpaka mwisho....Wazanzibar wakipewa pilau tu na ccm wanabadili mawazo
 
mbishi,

Stupid aurgument, wewe unaonekana Zanzibar huijui unajuwa ulichosomeshwa kibasila secondary na ccm kwa mantiki hiyo hiyo unayosema kuwa viongozi wa Ccm wanayofanya. Wewe una kasumba na chuki ya warabu usingalisema hivyo wala huwajui warabu sisi tuliozaliwa na kukulia na kusoma Zanzibar na WaTanganyika waliozaliwa Tanganyika na wakakulia Tanganyika hasa Pwani tunawajueni nyinyi Watanzania bara kuliko mnavyozijuwa nafsi zenu, sisi tumeijuwa ajenda yenu na baba yenu wakambo tokea zamani na ndio maana siku zote upinzani dhidi ya Muungano na CCM unaanzia Zanzibar karibu miaka 50 sasa na nyinyi siku zote hadi tuwaaamshe kwa vile nyama choma na serengeti zilivyojaa vichwani mwenu mkageuzwa vilaza.

Kwanza karibu Zanzibar uje tukusomeshe historia yetu halisi, kisha tukuonyeshe na wewe uhalisia wako kisha ndio uingie mtandaoni kuzungumzia Zanzibar, nyinyi kama mnaitaka Tanganyika basi iondoeni.CCM tokeni hadhari mulikatae Bunge kuendelea kwani wale wabunge 400 wa CCM wasiotaka Tanganyika ireje waliwekwa na wingi gani madarakani kama nyinyi ndio wengi mnaoitaka Tanganyika? Nasema na mtuheshimu kwani sisi mantuhitaji kuirudisha Tanganyika na mamalaka yake kamili na msimamo wetu manujuwa vizuri anagalia hapa:
View attachment 147617

Hiyo ndiyo jawabu ya JK, sasa nyinyi M4Chuki hamuwezi kuwa ndumila kuwili eti.mnataka serikali 3 na Tanganyika halafu mnatujejea sisi wa upande wa pili wa muungano. Nyinyi ndio mlioshirikiana na CCM wakati wana CUF wanadai nchi yao mkawacheka wakati wanauliwa kule Micheweni. Sasa nanyi yanawakuta, Arusha, Iringa, Geita, Kigoma, Chalinze, na kwengineko "Mla kuku wa mwenzie miguu humuelekea"

Kwa kusoma chini ya mamalaka ya Jamhuri sisi hatushindani na nyinyi sababu huu Muungano ndio tukaukataa kwani kabla ya hapo 26/4/64 tulikuwa tuanongoza kwa Elimu kuliko nyinyi. Ushahidi hai ni Viongozi kama Mzee A. H MWINYI, Salim A. Salim, Marehem Abdulwakil na wengine wengi. Lakini sisi wa Zanzibari dhiki imetufunza mengi na tume survive na hii ni moja ya msingi wa elimu kwani imetufanya tujiendeleze wewnywe ndio.maana Kariakoo 2/3 tumeishika kwa Biashara na kwa uwezo tulionao tunaweza kuwageuzia kibao tukawatawala akili zenu kwa njia ya kufisidi matamanio yenu mlioyaweka mbele hamuutaki Muungano na bado munatia ufisadi Zanzibar. Kwani Zanzibar imiwa ni ya watu weusi, buluu, njano au nyekundu inakuhusu nini wewe? Kama mna lazima ya kila penye weusi ni kwenu nendeni Sudan Kusini, leo hii imetoka report mumewafukuza Watu weusi 5000 kuwapeleka Uganda jee wale ni Wapemba,mnasema Ugqnda ni kwao nao Waganda wamekataa kuwa hao sio kwao kwanini msiwazuie serikali kuwaondoa?. Double Standard zenu tunazijuwa vizuri.

CHADEMA KAMA MNATAKA NCHI 2015 ondoeni chuki za kidini na kikanda acheni kuichukia Zanzibar na hasa uislam. Adui yenu ni nyinyi wenyewe, The Enemy Within!

Asante
 
1396024002016.jpg

jawabu ya JK hiyo Kibanda maiti
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom