JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,156
- 3,628
Napendekeza tuwe tunatumia salamu ifuatayo: Kidumu chama cha mapinduziImekuwa ni jambo la kawaida siku hizi kuwasikia viongozi mbalimbali wakianza na salamu zenye vionjo vya kidini hata katika mikusanyiko isiyo ya kidini.
Kikao ni cha kiserikali kabisa au mkusanyiko usio bagua dini mtu anaanza kwa kusalimia salamu ndefu mathalani;
Asalamu aleyukum, bwana yesu asifiwe, Kristu n.k
HIVI kama nchi hatuna salamu nyingine ambayo haigemei upande wowote?
Je, kwa salamu hizo hatuoni tunawabagua wasio na dini, wabudha, marasta na wengineo?
Tuchukue tahadhari tujenge taifa moja linalo kumbatia masilahi ya kila mtanzani hususan wakati tunasalimiana.
Huu ni unyanyapaa wa kidini usio na faida yoyote.
Alafu hizi salamu huwa zinaonesha ni jinsi gani tulivyo wanafiki kujifanya tupo karibu na mungu wakati report zinaonyesha ni wachawi dunia nzima!
Kimsingi hatuna salamu ya taifa nyingi ni zakitumwatumwa tu tena afadhali ile ya "Tumsifu yesu kristo" inaeleweka kuliko hizi zingine kama Asalaam Aleykum/Aleykuum Islaam hii sio lugha yetu ni ya kiarabu so ni yakitumwa kabisa, au Shaloom hii pia ni ya kitumwa maana hiki na kiyahudi.
Shikamoo/Marahaba hii ndio mbaya sana maana yake ni "Nipo chini ya miguu yako"/"Umesalimu Amri" ni lugha ya kiarabu kunyanyasa watu weusi enzi hizo so nashauri tutafute salamu zetu maalumu.
Japo uamsho wameumbwa ili wabishebishe wataona kama ni kumtusi mtume na salamu zao za kiarabu
Napendekeza tuwe tunatumia salamu ifuatayo: Kidumu chama cha mapinduzi

Napendekeza tuwe tunatumia salamu ifuatayo: Kidumu chama cha mapinduzi AU
zidumu fikra za mwenyekiti......... teeh teeeh teeeeh!!!!!!!!!!!!! zidumu kweli fikra za m.k.w.e.r.e uuwiiiiiiiiiii!!!!
Alafu hizi salamu huwa zinaonesha ni jinsi gani tulivyo wanafiki kujifanya tupo karibu na mungu wakati report zinaonyesha ni wachawi dunia nzima!
Kimsingi hatuna salamu ya taifa nyingi ni zakitumwatumwa tu tena afadhali ile ya "Tumsifu yesu kristo" inaeleweka kuliko hizi zingine kama Asalaam Aleykum/Aleykuum Islaam hii sio lugha yetu ni ya kiarabu so ni yakitumwa kabisa, au Shaloom hii pia ni ya kitumwa maana hiki na kiyahudi.
Shikamoo/Marahaba hii ndio mbaya sana maana yake ni "Nipo chini ya miguu yako"/"Umesalimu Amri" ni lugha ya kiarabu kunyanyasa watu weusi enzi hizo so nashauri tutafute salamu zetu maalumu.
Japo uamsho wameumbwa ili wabishebishe wataona kama ni kumtusi mtume na salamu zao za kiarabu
zidumu fikra za mwenyekiti....