Salama toka kwa Mpwa YoYo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salama toka kwa Mpwa YoYo

Discussion in 'Jamii Photos' started by Tumsifu Samwel, May 13, 2010.

 1. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #1
  May 13, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  View attachment 10188

  Hivi karibuni nilikuwa mkoani Mbeya kikazi, katika tembea tembea nilifanikiwa kukutana na rafiki yangu wa utotoni Bw.YoYo nilifurahia sana kwa jinsi alivyobadilika na kuamua kujiajiri mwenyewe anaendeleza sera ya (kilimo kwanza).

  Aliniambia toka alipojiajiri mwenyewe amepata mafanikio makubwa sana ikiwemo kupiga nyumba yake bati na kufuga mbuzi n'k, mwishoe tuliishia kwenye club ya pombe kupata Kimpumu.

  Anawasalimu sana hasa Masanilo,Fidel80,FL1,Shishi.
   
 2. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Itabidi tumnunulie Blackberry awe ana bofya JF tumemiss sana mitundiko yake ya ki YOYO YOYO
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  May 14, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Dah mpe hi mpwa Yo Yo angekuwepo naona Boflo angepata cha moto.
   
 4. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #4
  May 14, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kumbe YoYo ni kiboko cha Boflo
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  tehe tehe!! mkuu hapo wapi?
   
Loading...