Hamasa inabebwa na USHINDI uwanjani. Kama timu haifanyi vzuri uwsnjani FANYA UWEZAVYO KAZI BUREHana hamasa huyooo. Huyo mdada hana amsha amsha kama Manara .Ukweli ndiyo huo na msema kweli ni mpenzi wa Mungu tusijifariji kirahisi hivyo kuziba pengo la Bugati ni ngumu si rahisi kihivyo.Kama hamuamini tusubiri muda utasema