Jana nilifika Tigoo baada ya line yangu kushindwa kusoma network. Hii ilitokea ghafla tu nilipoamka.
Haya kituko chake.
1. Unatakiwa kutoa photocopy kitambulisho chako kwa shs 300. Hapa nikajiuliza uhalali wa wao kupandisha hiyo bei na kuwa mia tatu na kutofautiana kabisa na maduka mengine. Hii nii Tigo Mlimani City. Nikauliza nyie ni tigo au wakala? Wakasema ni Tigo. Lakini ishu hasa mteja anayekuja kusajili line yake aidha imeharibika au anakuwa mteja kwa mara ya kwanza kampuni kama Tigo ina chaji shs 300. Hii ni aibu kubwa saana. Hata kama makusudio ni kuongeza mapato, mteja huyu atanunua vocha na atatumia huduma nyingine kama Tigo pesa, halafu mnadai shs 300. Hizi nii aibu kwa kweli, lazima awepo mtu mmoja aliyefanya uamuzi wa kufanya bei iwe ya ajabu halafu pia mteja adaiwe.
2. Mteja amekwenda ku-renew line anadaiwa shs 500. Hili ni debatable. Lakini kwa nini msijitahidi line zikawa bure kwa wale wanao renew na hizo mia tano kwa mpya? Nazungumza hivi nadhani huenda shs 500 imeweka kudiscourage wale wanaotaka kuwa na line nyingi bila sababu.
3. Nimemaliza kurenew, naambiwa line yako itafanya kazi baada ya masaa 72 kwa kuwa wewe ni post paid. What? Unaadhibiwa kwa kuwa PostPaid. Nikawaambia nitoeni haraka saana. Oh inabidi uandike barua ya kujitoa. Hii haikuwepo kwenye terms and conditions. Nyie Tigo?
4. Kuna foleni ya ajabu kwa huduma ndogo kwenye duka lao Mlimani City. haivumiliki kwa kweli. Sisi ni wateja bwana lazima tuthaminiwe.
Mwishoni nikatoka nje nikaanza transition ya kuhama mtandao, salam kwenu Tigo toka enzi za Mobitel, naondoka.
Kwaherini.