X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,604 Reaction score 1,848 Nov 28, 2009 #1 Assalamu alaykum Nakutakieni Eid Mubarak wana ukumbi wote, Allah akupeni kheri pamoja na aaili zenu, na akutilieni barka na furaha katika majumba yenu... Vile vile Namuomba Allah Ajaalie ukumbi huu uwe ni ukumbi wenye kuleta Ilmu na udugu na mapenzi baina yetu, Na atuepushe na kila fitna na shari. Sina Zawadi ya waridi Wala Uvumba wala Udi Illa kumuomba maududi Awape yenye kuwahidi Kullu Aam wa-antum Bikhayr Maa salaam X-Paster
Assalamu alaykum Nakutakieni Eid Mubarak wana ukumbi wote, Allah akupeni kheri pamoja na aaili zenu, na akutilieni barka na furaha katika majumba yenu... Vile vile Namuomba Allah Ajaalie ukumbi huu uwe ni ukumbi wenye kuleta Ilmu na udugu na mapenzi baina yetu, Na atuepushe na kila fitna na shari. Sina Zawadi ya waridi Wala Uvumba wala Udi Illa kumuomba maududi Awape yenye kuwahidi Kullu Aam wa-antum Bikhayr Maa salaam X-Paster
nguvumali JF-Expert Member Joined Sep 3, 2009 Posts 4,927 Reaction score 1,342 Nov 28, 2009 #2 ASANTE, japo kwakuchelewa.
Mvina JF-Expert Member Joined Aug 2, 2009 Posts 997 Reaction score 34 Nov 28, 2009 #3 Ubarikiwe sana mkuu