my judgement
Umemaliza maneno Swirry , kila kitu naja nacho!
Sisubutu kusahau! Na hivi najua leo KILALO tupa kulee!
Si unajua sikua hewan mda kiduchuu bt sio kesi kesho where will u b at? Ili tuone kama we can c each otheryeah, nlikuja tangu last week. hukuona post yangu?
Hun kumbe humu jf kuna madege tena yale yasioliwa
Looh, mbona pole yao maana wajitia mapana ka jan la cabbageMbona yapo kitambooooooo!
Mai Hun mekupata hivi muda huu ndiyo niko Mbezi kwa Yusufu , naja kwa gari binafsi !
Muume sikio Mama mzaa chema ugeni punde hivi !
Lile Jogoo uliloniambia msilielekeze kibla leo, lile mtanichinjia kesho J'2 , mi naja na Nyama nimeinunua pale
Mbande- Kongwa.
Nipe utaratibu wa malazi my WIFE .
Wewe unawaza malazi mchana wote huu haya mkuu.
Si unajua sikua hewan mda kiduchuu bt sio kesi kesho where will u b at? Ili tuone kama we can c each other
nahc bdo una mning'inio wewe
on ma way tu kigambonino, u?
Najua unataka kuniulizia masuala ya muungano ya Tanganyika & Zanzibar !
Hapa sio sehemu yake!
Subiria tume ya Warioba ikipita pande zako utachangia!
Huu uzi unahusu mimi , my wife Nasty na my Motherinlaw!
Muamkie basi Ma'mkwe wangu?
hahhahaaaaa loh!!!!!
Sikuwezi,