Hebu fanya kasensa kadogo eneo unalo ishi.. kati ya wavulana na wasichana wapi ni wengi?
Nadhani umepata jibu. Wasichana ni wengi na hasa ukizingatia swala la KUOA anaamua mvulana, bargaining power kwa wasichana juu ya mahusiano inazidi kushuka chini.
Sasa basi ushauri kwa kina dada wanaotafuta kuolewa huu hapa!!
kujiheshimu zaidi
vaa nadhifu na (nguo za heshima )
Kuwa mkweli
usipende kuonjesha watu tundi (wala usiwe na skendo, kama unayo base hama mji )