Salaam Kwa Mbunge Msigwa

bado tunamhitaji msigwa pale bungeni. ugomvi wangu naye ni kuingizwa kwenye ugomvi na mbowe kumhujumu zitto. basi, the rest bado anafanya kazi nzuri pale mjengoni. watanzania amkeni tunahitaji nusu kwa nusu pale mjengoni. na hiyo ndo silaha yetu pekee iliyobaki. tukicheka tutavuna mabuwa.

 

Hizo ni salamu kwa au Rambi rambi kwa msigwa? Nadhani wewe siasa ya iringa huijui vema ...nenda vijiwe vya kihesa, mtwivila, mwang'ing'o, gangilonga, wilolesi, lugalo, posta, miyomboni, makorongoni, stendi, kitanzini, mshindo, kwakilosa, mwangata, mlandege, nduli, ipogoro "ipp", kitwiru, kibwabwa, igumbilo, hoho, makanyagio, mkwawa, ilala, nyumba tatu, itamba, mawele wele, zizi la ng'o,be, kitasengwa, igwachanya, frelimo, saba saba, mwembetogwa, na maeneo mengineyo kafany tathmini ya hali ya kisiasa . Pia ongea na mamambega pale gangilonga n.b:mme wake asikuone kwani ni mtata sana kwa wanaomjua yule dingi, etc.
 
hah, vijiweni tena? hawapigi kura hao....btw asante nitakwenda leo jioni
 

na iwe hivyo
 
Kuna jamaa anaitwa Criss Lukosi inasemekana nae anahitaji jimbo. Ni vyema akaja hapa kutueleza nia yake.
 
Chris Lukosi yako wapi yale Magari ya taka uliyowaahidi wana Iringa? Wewe ndio mtu pekee CCM inakutegemea kumtoa Msigwa Iringa. Go go goooo Chris Lukosi
 
chadema 2015 wakirudisha wabunge bungeni hawatazidi 5 tu

Khaa!! Wenzako hawalijui hilo. Akili zao ndefu kama mkia wa mbuzi :cool2: Tusubiri 2015

hii ni kweli kwani ndicho walichoniambia

Mbona povu linakutoka....usipanic

Unajuwa msigwa alipita kwa sababu ya ccm yenyewe?
Walipomuondowa mwakalebela watu wakagawanyika na kupiga kura za chuki

ACT ni nyumba ndogo ya CCM!
By chumakipate


Anti-CHADEMA Tanzania(ACT)
 
Kuna jamaa anaitwa Criss Lukosi inasemekana nae anahitaji jimbo. Ni vyema akaja hapa kutueleza nia yake.

Chris lukosi ni mwizi wa rambi rambi za wajane wa mwangosi hafai hata ujumbe wa nyumba kumi
 
Chris Lukosi yako wapi yale Magari ya taka uliyowaahidi wana Iringa? Wewe ndio mtu pekee CCM inakutegemea kumtoa Msigwa Iringa. Go go goooo Chris Lukosi

Wewe unaota ndoto za mchana
 

Mkuu si busara sana mpaka utumie lugha ya kuudhi nadhani umeeleza vizuri na umeeleweka ila umekosa hekima kidogo mwishoni kwa lugha ya kejeri dhidi ya mwakalebela...by the way ni mtazamo tuu mkuu
 
Unajuwa msigwa alipita kwa sababu ya ccm yenyewe?
Walipomuondowa mwakalebela watu wakagawanyika na kupiga kura za chuki
Na bado mwakani watapiga tena kura za chuki. Maana kuna jamaa anaitwa Hassan Mkwawa nae analinyemelea Jimbo, lazima atasuguana tu na Mwakalebela!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…