SALAAM kutoka jikoni

Kazi kweli kweli! Any way kila la heri huko uendako SALMA 2015
 
Wanajidanganya. Watatoka tu. Iwe kwa kura, au kwa kuandamana, iwe kwa amani au kwa fujo.Na raia walivopigika, hao watoto wa vigogo wajiandae kuikimbia nchi.
 

Hii ni dalili tosha kuwa huna mbinu mbadala dhili ya CCM na hivyo umeshindwa na umefikia uwezo wako wa mwisho kabisa, pole sana maana unategemea husicho kijuwa na husicho kielewa na hivyo basi utaendelea kutawaliwa na CCM hadi siku Yesu atakapo rudi maana wewe unasubiri Yesu ndio aje akusaidie kuiondoa CCM madarakani!

Watu kama wewe ndio mtaji wa CCM miaka nenda mwaka rudi.
 
mhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
unaonekana kuw na mengi lakini umekuwa mwoga wa kuyatoa ati
 
Nahisi kama imeandikwa na Nape mwenyewe hii maneno. Inasikitisha kisha inaogopesha pia.
 
Umefanya vizuri, usije ukawachongea wenzako; lakini je ungewataja kwa majina napo wangesema ni wale waliokutwa na simu ndio walioyataja? Napatwa na wasiwasi kidogo kuhusu ukweli wa taarifa hii
Bigi saus thank you for this useful post.

Ili thread iaminike lazima iwe na kitu cha pekee kidogo.............hakipo,

Isipokuwa najua jikoni kuna mafuta mazito yaliyochanganywa na petrol kwa sasa!!
 

kila la kheli Mtanzagiza..
 
wamelaaniwa wale wote wanaodhani hawatang'ka,najua wanjiandaa kuacha watoto na vijukuu na malaya wao.lakini naamini Mungu atalisimamia hili na kwa kuwa vita haianzii TZ na si kwa watu wa leo enzi na enzi walipigana,hivyo naamini hata wajipange vipi kutuua lakini tutashinda
 
Tukianzia SA kwa makaburu enzi zile, waliua sana lakini hawakuwamaliza watu, Moi na KANU yake waliua sana mpaka mawaziri kama Ouko nk. Leo iko wapi-opposition mpaka kwa Ocampo! Ukiona wamefikia stage hiyo ujue nguvu ya umma iko mlangoni mwao na shoka liko kwenye shina! I like Peoples Power.

Mwalimu wake Sarafina Ms Masumbuka (Whoop Goldenberg) alisema; "PEOPLE CAN DEFEAT THE ARMY" -freedom is coming tomorrow.
 
toka hapa nyani wee.!kama huna cha kuchangia kaa kimya,idiot we!!
 
Nakubali mambo ni mengi sana.....
 
hii ni taarifa ya uongo, kwa kuiweka hapa tu ni wazi hao wenye simu wanajulikana na umewachongea tayari,
huna mpya wewe ni moja ya kondoo wa nchi hii
 
Taratibu. Usijepigwa ban ya bure.
 
Habari ya kutunga ni tamu sana kuisoma lakini ni ngumu sana kuielewa!
 

Kwenye red: umekosea kidogo ni kwamba anatumbwa kama a German shepherd!!
 
Si kwamba tu ni hatari kuondoka ccm bali pia ni hatari kupingana na wakuu wa ccm hasa wenye chama chao, yu wapi Kolimba? Mwandyosa vp hali yake? Harrison nae nini kinampata? hivi Salome Mbat... alikufa kifo cha aina gani? heeeh yule Daud wa BOT yu wapi? ccm haijaanza kuua watu leo kweli. Let's keep our eyes still.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…