SALAAM kutoka jikoni

Harufu nzito sana .Leo nimetoka kuongea na jamaa mmoja wa huko huko wanao jiita wa Usalama hakika anakubali mwamko wa watanzania umekuwa mkubwa ana furahia ila ana wasi wasi na CCM kukuali kuachia baada ya kushindwa .Na Kushindwa CCM lazima labda wawape sumu vijana wote wafe wabakie mtaji wao ambao wanasema ni akina mama na sijui akina mama wapi hao .Ila mkuu ushuhuda huu mzito ila mbaya .Muumini yeyote wa demokrasia lazima alie .
 
Wanahaha huku na kule kuhakikisha wanabaki madarakani. Saa ya ukombozi ikifika wataondoka tu maana hakuna anayeweza kuizuia nguvu ya umma.
 
Endelea kutujuza mkuu. Hii nchi ni yetu wote. asante sana.
 
kufikia tarehe 10 mwezi wa 8 2015 nitakua namiliki AK-47,MICHONGO IMEKAMILIKA,CCM WASITUFANYE SIS MAZUZU,LAZIMA NIFE NA MWIZI MMOJA KUTOKA CCM!!
 
Kama kweli hali ndio hivi, that, "there is no way you can leave from CCM safely", basi nawaomba sana MODS wa JF wajaribu kuthibiti forum hii, ili taarifa nyeti zenye manufaa kwa wanyonge na umma kwa ujumla zisije zikavuaja na kuwafikia Mungiki...! Maana ikiwa hivyo basi na wadau wa "jikoni" tutawapoteza muda si mrefu...!
 
Ni kweli dani ya hii CCM mamboleo WAFUNGWA KIFUNGO CHA NJE, kama akina Dr Masumbuko Lamwai, ni wengi kuliko idadi ya watuhumiwa wote wa kule rumande Keko wakiwekwa kwa pamoja. Wengi sana mle ndani wanatamani ukombozi sasa kuliko hata wewe na mimi hapa.

Hivi majuzi tu wastaafu wamefumuliwa kwa nguvu na kushurutishwa wafanye kampeni Igunga wapende wasipende; na picha hiyo bado inaendelea.

Fatu asipumzike sana huko bali mtoko ndio uwe wa ki-ID nyingine tu. Audio ije hewani kabla haujaondoka likizo.
 
Nimesoma posti zote na nimekutana na ccm na wanachama wake wanaoogopeshwa nayo. Sasa kama wanachama wote wanaiogopa ccm, ccm ni nani hasa? Wajameni nisaidieni kujibu swali hilo. Ccm ni nani hasa??
 
hata ghadafi alisema mapanya hawawezi kumsumbua likini sasa anaogopa panya na amejificha.

Usimfananishe Qadaffi na ushuzi kama CCM.

Qadaffi ni zaidi ya Marais wa Ulaya ambao wewe na rais wako hapa mnakaa mkiwasujudia kila kukicha.
 
Mimi pia nakutakia mapumziko mema huko Czech, kuhusu mchango wako tunazidi kupata proof ya maovu yanayoandamana na magamba au kushabikia magamba. Labda na wewe pia utashindwa kutoka. Sio kwa ubaya lakini kama ni likizo au kikazi unaenda huko Europa sijui umefadhiliwa na hayo hayo kwamba upo kwenye system au vipi hujaweka bayana, changamoto ulizozitoa kweli zipo na wapiganaji pia tupo tujitahidi kutangaza zaidi na zaidi kwenye vijiwe vya kahawa, wavuta unga na wengine kule shamba. Nina uhakika asilimia kubwa ya waliomo JF ni waelewa wa kuchambua maneno ila sina uhakika ni wangapi walio na uwezo wa kusaidia kueneza...ndugu zangu tusiishie humu humu inawezekan ukombozi ukatokea humu
 
a message to ccm: Alexander the great started like a joke but he ended up to be a great conqueror of ages!
 
kufikia tarehe 10 mwezi wa 8 2015 nitakua namiliki AK-47,MICHONGO IMEKAMILIKA,
CCM WASITUFANYE SIS MAZUZU,LAZIMA NIFE NA MWIZI MMOJA KUTOKA CCM!!

Huhitaji AK-47, omba ipatikane katiba mpya itakayobadilisha kabisa
mfumo wetu na kuwepo tume huru ya uchaguzi, matatizo yote yatakwisha...
 
Huhitaji AK-47, omba ipatikane katiba mpya itakayobadilisha kabisa
mfumo wetu na kuwepo tume huru ya uchaguzi, matatizo yote yatakwisha...


Mkuu, Unaomba wapi hiyo katiba mpya? Mbona viongozi wetu wote wanaohusika na suala hilo walishatoa jibu la kutoona umuhimu wa katiba mpya?
 
i am skeptical........ coz siku hizi kila mwanaCCM anataka kuonekana jasusi mwenye nia njema na upinzani, hiyo could be another spin

Ili hata habari za kweli tuzione hazina maana
 
Pamoja na kwamba siipendi sisiemu lakini huu hapa ni udaku asilimia zote
 
Mkapa anamiliki,kiwanda cha Mtibwa na shamba Tuliani/Mvomero anapokea hela kila mwezi Kwenye migodi kibao nchini na ufisadi mwingine mnaoujua,Mangula,Msekwa,Sumaye wote wana maheka kibao Mvomero! Ridhi1 na baba yake nadhani mnajua maovu wanayoyafanya wakishirikiana na marafiki zao kama RA na EL! Ccm imehodhi viwanja vya mpira mikoa yote' wamejichukulia maeneo na majengo ya serikali! Hakika yapo mengi ndiyo maana ccm wapo tiyari kuua watu ili wabaki madarakani.WANAJUA IKITOKEA WAMETOKA MADARAKANI WATAFUNGWA NA KUFIRISIWA MALI WALIZOJILIMBIKIZIA.ILA IPO SIKU KITAKEWEKA TU!.
 
Hii stori kama ya kutunga vile. Enewei taim will tell.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…