Sala ya kuiombea taa neshiko

katawa

JF-Expert Member
Jan 29, 2010
790
1,740
Fumba macho tafadhali.
Baba yetu uliye Magogoni.
Jina lako litumike kuwang'oa wazembe ktk utendaji wa taa neshiko,
Ufalme wako uwaangazie walala hoi,
Umeme uwakao magogoni upatikane tandale kwa mfuga mbwa.
Utupatie haki yetu ya kupata umeme kila siku,
usiwasamehe wazembe ktk utendaji,kama wao wasivyowaonea huruma walalahoi,
Usikubali simbion watutie majaribuni kwa miaka 20 sasa na wakati wa kuhamisha milki yao,
Amen
 
Back
Top Bottom