Himidini, kuombea tendo? Naona kama vile nitakuwahi namuita Mwenyezi Mungu aje ashuhudie ninachokifanya, kitu kinachonipa ugumu ndani ya moyo wangu kwa namna ninavyomfikiria huyu Mungu wangu mwingi wa rehema, ambaye kwa kudra zake, niko hai mpaka leo!^^
.... wanaposali kwa adabu kuombea tendo hilo husaidia sana kufurahia kukutana kwao kimwili.
^^
Tatizo tendo lenyewe lishachakachuliwa, watu wanapita milango ya nyuma!!!
kuna kuomba tena hapo????
Himidini, kuombea tendo? Naona kama vile nitakuwahi namuita Mwenyezi Mungu aje ashuhudie ninachokifanya, kitu kinachonipa ugumu ndani ya moyo wangu kwa namna ninavyomfikiria huyu Mungu wangu mwingi wa rehema, ambaye kwa kudra zake, niko hai mpaka leo!
Kwa upande wangu, acha tu nile bila kuombea!!!
Kaka hapo umenivunja mbavu hahahahhahaaaaaaaaaaaaHimidini, kuombea tendo? Naona kama vile nitakuwahi namuita Mwenyezi Mungu aje ashuhudie ninachokifanya, kitu kinachonipa ugumu ndani ya moyo wangu kwa namna ninavyomfikiria huyu Mungu wangu mwingi wa rehema, ambaye kwa kudra zake, niko hai mpaka leo!
Kwa upande wangu, acha tu nile bila kuombea!!!
Yaani unakuwa umemtia hasira Mungu mara mbili zaidi!!!
Sasa kama chuma kikoli moto ukianza kuomba si kitapoa, na hata hicho chungu chenyewe si kitakauka wakati tayari kilishajaa maji. Hofu yangu unaweza ukajikuta umeanza kunena kwa lugha ukimaliza kila kitu kiko doro.
Mbona ulisahau kufumba macho wakati unaomba? nilikuona unanichungulia kwa pembeni ukisubiria kusema ameeeen. Hahahahahahahaaaaaaaaaha ha ha ameeeeen!!!!!!!!!!
mwelewe mtoa mada rafiki, amesema ombea tendo la ndoa, siyo ngono.Himidini, kuombea tendo? Naona kama vile nitakuwahi namuita Mwenyezi Mungu aje ashuhudie ninachokifanya, kitu kinachonipa ugumu ndani ya moyo wangu kwa namna ninavyomfikiria huyu Mungu wangu mwingi wa rehema, ambaye kwa kudra zake, niko hai mpaka leo!
Kwa upande wangu, acha tu nile bila kuombea!!!
ngoja mimi nijisemee ukweli....
sijawahi kuombea tendo kabla ya kuanza kufanya, ila, kila siku huwa tunasali pamoja kabla ya kwenda kulala, baada ya sala za pamoja huwa tunakuwa na kipindi cha ukimya ambapo kila mtu anaomba anachotaka. huwa mara kwa mara siachi kumwomba Mungu abariki tutakachokifanya usiku huo, kwa hiyo haijalishi tutafanya muda gani. na asubuhi pia huwa naomba hilo, kwa hiyo ikitokea tunafanya any time mchana basi nakuwa nilishaliombea.
unajua haya mambo huwa hatuambizani "haya sasa tuanze", huwa yanatokea tu.... sasa sipati picha mzuka umepanda mnaambiana "No....ngoja kwanza tuombe"...... mpaka maombi yanaisha zile hamasa zinaweza zikawa zilishakimbia......
Sala kabla ya tendo la ndoa? hahahaha, I'm not sure it's a good idea! you be like:
Bwana tunakuomba utuwezeshe tendo hili tunalo taka kushiriki katika jina lako
Yutangulie, eh bwana, na utuhepushe na pepo zote zinazo wesha kutokosesha malengo yetu
Tunakemea katika jina lako tukufu pepo zote za dushelele kuishiwa nguvu baada ya goli la kwanza
Bwana tupe nguvu ya kushinda pepo la primaturity linalo shusha mbegu baada ya dakika chache
Tunakemeaa na kuzifungia pepo za STD, za Ukimwi, na pepo la magonjwa mengine ya zinaa.
Waongoze wageni wetu, eh bwana, wasije piga hodi wakati bado tunashiriki tendo hili tukufu,
Msaidie partner wangu huyu afurahie tendo kama nitakavo furahia mimi. Nipe inspiration eh Bwana
ya kuweza kumridhisha mwenzangu, kabla ya kumuingilia, wakati wa kumuingilia na kisha kumuingilia
Bwana tupe nguvu ya kushinda vishawishi vya kujipoteza njia wakati tunajua njia halali ilipo,
Bwana tupe nguvu ya kutovuta picha za wake za watu wakati umebariki kua na wake zetu wa ndoa
Na ikikupendeza eh bwana wa mabwana, Mungu muweza vyote, mchezo huu usife bure, tuzae mtoto.
Amen.