Awali walikuwa Na decoda za aina 2 Na bei ilkuwa tofauti kimoja kilikuwa kinarusha free local channel Na kingne cha kulipia kama chako. ila kwasasa vyote ni free local channel wakikata bac call them for helpStartime Dish ipo Tbc tu hakuna channel za bure zingine.
Kwangu tbc haionyeshi ITV ndio Ipo hewani angali kifurushi kimekata asubuhi nasikitika kuikosa Habari ya saa mbili kwa kutojuaStartime Dish ipo Tbc tu hakuna channel za bure zingine.
Na makosa hayo mi nafkili yalifanyika mwanzoni kipindi huu mfumo wa kditali unaingizwa nchini,kwanini Serikali haikuainisha mapema vipengere hivyo kwenye mikataba? na kama kweli kwenye mikataba hivyo vipengele vilikuepo serikali kipindi chote ilikua wapi?Nadhani umeelewa tofauti ktk sheria za Tz kuhusu FTA.
Walioshinda zabuni ya kurusha FTA ni Startimes, Continetal na mwingine nimemsahau.
Hata DSTV sidhani kama wanarusha tena TBC baada ya kulimwa barua na TCRA.
Lakini nakuomba fuatilia kwa undani zaidi hili sakata. Inawezekana mimi ndo sijaelewa vzri.