Sakata la Ujenzi wa Bomba la Mafuta ya Uganda, mapya yaibuka

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487
DnbanditsTurkana1007.jpg


  • Wabunge wa Kenya maeneo ya Turkana waapa kuhakikisha mradi wa bomba la mafuta toka Uganda haupiti kwenye maeneo yao.
  • Wajipanga pia ku-mobilize raia na wakazi wa maeneo yao kupinga ujenzi huo lakini pia kuhujumu mradi endapo utajengwa kupitia Turkana.
  • Kama Kenya italazimisha kuujenga mradi huo toka Uganda mpaka Lamu wabunge hao wameapa pia kuhakikisha watu wao hawapigii kura Serikali iliyopo madarakani katika uchaguzi ujao.
==========================

Prospects of the government starting oil exploration in Turkana and constructing an oil pipeline in Northern Kenya suffered another setback after six MPs from Turkana vowed to block it.

The MPs, led by Turkana South’s James Lomenen, said the Jubilee government had neglected the region and failed to fulfil election pledges made before the 2013 elections.

Apart from mobilising the local community to block building of the Uganda oil pipeline to Lamu, the MPs under the Turkana Parliamentary Caucus, also threatened to vote against the ruling coalition.

“The government promised us roads, electricity, jobs, water and to fix insecurity but none of that has been done. Since the region is now getting focus because of the oil, we will insist that those pledges are fulfilled before we can allow the oil out of Turkana,” he said.

The MPs, who spoke during a press conference at Parliament Buildings on Wednesday, also accused President Uhuru Kenyatta of “avoiding them” saying they would also avoid him at the ballot in 2017.

The resistance by the MPs is the latest hiccup to face oil production prospects in the East African region, after Ugandan President Yoweri Museveni hinted that the country might choose to construct its oil pipeline through the longer Tanzanian route due insecurity in Northern Kenya.

However, the Turkana lawmakers faulted the Ugandan leader, saying only the Kenyan government was in a position to discuss the security situation in its own country.

They said diversion of the Uganda oil pipeline would deny the people of Turkana their rights and economic opportunities.

The MPs said the government should also consider waiting for the community land Bill, on compensation of communities along whose land the pipeline would pass through.

Source: Daily Nation
 
Si ajabu hili suala likavunja mhusiano au hata jumuia ya afrika ya mashariki , kwa jinsi jirani zetu wa Kenya walivyojawa na ubinafsi kuhusu ujenzi wa bomba hili toka Uganda kuja Tanzania.Rais Mugabe aliwahi kusema huenda yule nyoka aliyemdanganya Adam katika bustani ya Aden alitoka Kenya , kwa sasa naanza kumuelewa alichokifikiri.
 
Hivi nani anajua hasa umbali halisi kama bomba likipita Tanzania na kama likipita Kenya. Naona magazeti ya Kenya yanasema LONGER Tanzanian root wakati huku kwetu tunaambiwa ndio karibu zaidi na bandari...
 
Tatizo ni ahadi pindi serikali inapotoa kwa wananchi wao.

Unawaambia wananchi Neema inakuja mtajengewa hiki, mtafanyiwa haya etc etc, kwa wanaojitambua lazima walishikie bango.

Maana hata fidia hawaelewani maana kusikia tu la pipe wakenya wanataka kupandisha thamani ya ardhi zaidi ili walipwe hela ndefu.

Hapa kazi tu
 
Back
Top Bottom