Sakata la mchanga wa madini

Sakata la mchanga wa madini

Joined
Dec 25, 2016
Posts
8
Reaction score
3
Huu sio muda wa malumbano mkuu kajitoa mhanga kupata pakuanzia.Tutafute ,tumsaidie tuweze faidika na rasilimali za nchi. Sio wakati wa kutafuta mchawi.Tukianza tafuta mchawi waliokua mawaziri,wanasheria na wabunge wote tangu mwaka 1998 hawachomoi ni mtazamo tu
 
Hago nadhan hata Chenge mwenyewe hachomoki coz ndiye alikuwa mwanasheria wakat wa kusaimi mikataba hiyo
 
Back
Top Bottom