G Gaza Senior Member Nov 3, 2010 102 8 Jan 8, 2012 #1 Mwenye habari atujuze vikao vya madiwani huwa vina fanyika?
Mungi JF Gold Member Sep 23, 2010 16,975 9,566 Jan 8, 2012 #2 Sakata la Umafia na Vikao vya Madiwani ni wapi na wapi? Be specific and get in touch as a Great Thinker!
Sakata la Umafia na Vikao vya Madiwani ni wapi na wapi? Be specific and get in touch as a Great Thinker!
A Antar bin Shaddad JF-Expert Member Oct 11, 2010 202 101 Jan 8, 2012 #3 theread zingine humu uchafu mtupu
Losomich JF-Expert Member Nov 9, 2011 371 71 Jan 8, 2012 #4 Title ya thread yako haimachi na kitu unachouliza. Kama vile umetumwa na magamba kuja kufanya kazi ambayo hujaielewa. Acha kufikiri mambo kipanzi panzi. Bull sheet!
Title ya thread yako haimachi na kitu unachouliza. Kama vile umetumwa na magamba kuja kufanya kazi ambayo hujaielewa. Acha kufikiri mambo kipanzi panzi. Bull sheet!
Lugovoy JF-Expert Member Mar 2, 2011 573 170 Jan 8, 2012 #5 Antar bin Shaddad said: theread zingine humu uchafu mtupu Click to expand... nadhani ulimaanisha thread mkuu.
Antar bin Shaddad said: theread zingine humu uchafu mtupu Click to expand... nadhani ulimaanisha thread mkuu.