Wanawasahaulisha watanzania juu ya kibiti, Bajeti wizara ya fedha pia vyeti vya Daud Bashite mpaka ununuzi wa ndege na ujenzi wa reli na uwanja wa ndege chato.hawataki mkumbuke huko wameandaa skendo kibao zitatoka kadri wanavyoona moja imepoa wanaibua mpya mpaka ifike 2020 skendo bado zipo na zinaendelea kuibuliwa.Barrick Meets With Government of Tanzania to Commence Negotiations
TORONTO, June 14, 2017 — Barrick Gold Corporation Executive Chairman John L. Thornton met today with the President of the United Republic of Tanzania, His Excellency Dr. John P. Magufuli, to discuss issues pertaining to Acacia Mining plc (“Acacia”), and the country’s current ban on mineral concentrate exports.
The meeting was constructive and open, with the parties agreeing to enter into negotiations to seek a resolution that is in the best interests of all stakeholders, including Tanzania, Barrick, and Acacia
Ifuatayo ni kauli ya Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ambayo ni mmiliki mkubwa wa kampuni ya Acacia Mining Limited Prof. John L. Thornton baada ya kukutana na Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania kama nilivyojitahidi kuitafsiri kwa lugha ya Kiswahili...(natanguliza samahani kama kama kuna makosa)
Prof. John L. Thornton.
"Tumekuwa na majadiliano yenye mafanikio kuhusu tuhuma zinazoikabili kampuni ya ACACIA. Nimekuja hapa ili kusaidia kutatua tatizo na kumhakikishia Rais kwamba tuna nia ya kukaa chini na kutafuta azimio litakaloleta ushindi kwa wadau wote (ushindi kwa Tanzania, ushindi kwa Barrick na kampuni yetu tanzu ya ACACIA).
Baada ya kufanya mazungumzo hayo ya kina ninayo matumaini makubwa ya kufikia azimio hilo la ushindi na kuwataka wateuliwa wa kila upande (wa Rais na wa kwetu) wakae chini haraka kupitia kwa undani zaidi taarifa zote na najisikia vizuri sana kuhusu hatua tuliyopiga na maendeleo tuliyoyafikia hivi leo."
Swali...
Kwa nini tunajadiliana?
Watanzania jambo likifanywa na Rais hulishabikia sana hata kama hilo jambo limewahi kufanywa na wengine mara 100, wapo tayari kusahau vilio vya Wapinzani tokea miaka ya 90 lakini wameshabikia uamuzi wa mwaka 2017 wakati walipaswa kuzuia mapema.wana CCM wengi IQ zao ni ndogo kama wabunge wao wa ndiyoooooo....magufuli ni mwanasiasa na anajua akili za watz maskini watanzania kila ngoma ipigwayo wao wanakatika. hahahah ati juzi anajifanya kutaka kulia leo anacheka nao only in africa
Hulali? Au unavutavuta mida ya Daku? Nimetuma salamu kwa shemeji kule kwenye Uzi wake mpya operation za kijasusi zilizofanikiwa, umepata?Hivi ni waliambiwa walipe au wakae mezani wapitie taarifa zote?
Wajinga ni walioshangilia juzi.
Jamani...haya mambo hayaendeshwi kwa siasa bali facts.
Na facts ni kwamba tulishasaini nao mikataba mibovu.
Nini kifanyike sasa? Ilitakiwa bunge libadili vifungu vibovu na kandamizi vya sheria ya madini kabla ya serikali na viongozi wake wakuu kutuletea hili sinema.
Mnaotegemea Noah sijui nini sahauni,hakuna trillions 100+ zitakazolipwa wala nini.
Usingizi umenipaa hahaha,ngoja nikazicheki ndugu yangu.Hulali? Au unavutavuta mida ya Daku? Nimetuma salamu kwa shemeji kule kwenye Uzi wake mpya operation za kijasusi zilizofanikiwa, umepata?
Nyie ndo maana mliitwa WAPUMBAVU na MALOFA,yule Mzungu Proff John katoa na mfano wa Dominican Republic na Saudi Arabia ambapo kampuni zao zililalamikiwa kimikataba na wanaenda wakalipana na kuweka mikataba ya 50℅ by 50℅,hamkusikia?,akaendelea mbele na kusema kama iliwezekana huko inashindikana nini hapa?,hata tusipolipwa fidia ila tukawa tunapata 50℅ mnajua tutapata fedha nyingi kiasi gani?,haki ya Mungu mkiendelea kupinga kila kitu 2020 mtachemka vibaya sana,wananchi sio wajinga kama mnavyodhani,2020 hazungushi mtu mikono hewani kinyumbu nyumbu.
Naambiwa hii si tume ya kwanza kutoa pendekezo linalofanana na hili.Migodi haijataifishwa na hakuna ishu za kupelekana mahakamani. Kwa hiyo makubaliano ilikuwa ni mojawapo ya Azimio kutokana na taarifa ya pili ya Tume iliyoongozwa na Prof Ossoro. Kuna tofauti zimegundulika hivyo lazima zitapatiwe ufumbuzi. Bila Magufuli kuunda hizo Tume hawa Mabeberu wangeendelea kutupiga na kamwe wasingetuambia kama wanatupiga.
Hivi tuliingia nao kwenye mkataba bila kukaa nao mezani! Samahani sana, nilikuwa sijui hili.Kitendo cha Barick kukubali kukaa mezani ni hatua kubwa kwetu baada ya kuwastukia na kuwachana live bila chenga. Acacia /Barrick wamekubali fasta makubaliano ili kulinda hisa zao zisizidi kuporomoka.
Bunge lipi ndugu yangu, hili hili au tusubiri Bunge lijalo!Serikali inatakiwa kupitia Sakata hili isiwaonee haya Makampuni Nyonyaji na inabidi Sheria na Mikataba ipelekwe Bungeni ili kuondoa vipengele vilivyowekwa kuyafaidisha haya Makampuni na badala yake Bunge letu Tukufu lipitishe vipengele vyenye maslahi mapana ya Taifa na hapa Political Ideology zetu tuziweke pembeni kwa muda.
magufuli ni mwanasiasa na anajua akili za watz maskini watanzania kila ngoma ipigwayo wao wanakatika. hahahah ati juzi anajifanya kutaka kulia leo anacheka nao only in africa
Kitu cha msingi ni utekelezaji wa mapendekezo ya Tume na kama Tume za awali walitoa pendekezo hilo basi waliona umuhimu wake sababu tunahitaji wawekezaji lakini iwe win to win. Mkuu watu waliokaa mezani na kufanya makubaliano hapo awali walitanguliza maslahi yao binafsi na maslahi ya Mabeberu badala ya maslahi ya Taifa.Naambiwa hii si tume ya kwanza kutoa pendekezo linalofanana na hili.
Hivi tuliingia nao kwenye mkataba bila kukaa nao mezani! Samahani sana, nilikuwa sijui hili.
Bunge lipi ndugu yangu, hili hili au tusubiri Bunge lijalo!
Hapana, walikuwa hawaibi, walikuwa wanachukua kwa ruhusa yetu ila sasa tumezinduka! Walioapa kutulinda na mali zetu tumeamua na sisi kuwalinda na waliofaidi tunatafuta muafaka nao...ujanja kupata si kuwahi!..50/50 leo wakati wameshaiba kwa miaka 15++.
Usisahau ule msemo wa watu kutafuta shuka wakati kumekucha...kwa Watanzania hii si ajabu, ndivyo tulivyo...halafu kuna mgodi unafungwa ndani ya miaka 3.
Thubutu! Wananchi wa wapi, Tanzania? Hawa wanaopiga vigelegele serikali ikitafuta maridhiano na wezi wanaodai kuwaibia, hiyo sahau. Unakumbuka tulivyowabembeleza wezi wa EPA? Kikwete aliwalilia akiwaomba warudishe japo kidogo walichoiba akitoa ahadi ya kuwasamehe na kweli mwaka 2010 tukamzawadia Kikwete awamu ya pili!..wananchi watawahukumu 2020 kwa kukubali kujadiliana na wezi wa rasilimali zao.
Magufuli angeonekana mjanja angeenda kwenye mafuta na gesi...50/50 leo wakati wameshaiba kwa miaka 15++.
..halafu kuna mgodi unafungwa ndani ya miaka 3.
..wananchi watawahukumu 2020 kwa kukubali kujadiliana na wezi wa rasilimali zao.