Sakata la madawa ya kulevya: Faida za RC makonda kutaja majina ya watu maarufu hadharani

Dankbar

Member
Jul 11, 2015
98
113
Baada ya RC Makonda kutaja majina ya watu maarufu alikiwemo mwenyekiti wa Chadema kwa tuhuma za kuhusika na madawa ya kulevya yamepatikana na tutaendelea kuyapata yafuatayo:
1. Uelewa juu ya ubaya wa kumtaja mtu hadharani kwa tuhuma pasipo uthibitisho.
2. Haki za watu wanyonge wakiwemo waliotajwa hadharani na kuitwa kabla ya kutajwa watu maarufu akiwemo mwenyekiti wa Chadema.
3. Wakuu wa Mikoa kuelewa mipaka yao katika kushughulika na Mambo mbalimbali katika Mikoa ya na kitafuta namna nzuri ya kuyashughulikia.
4. Nguvu ya Bunge katika kuwadhibiti viongozi wateuliwa na katika kuilazimisha mamlaka ya kiteuzi kutengua uteuzi
5. Ongeza faida zingine kabla ya kuangalia hasara zake
 
CHADEMA kujitambua kwamba kutuhumu watu hadharani ni kitu kibaya kama walivyo mfanyiaga mzee Lowassa.
 
Back
Top Bottom