Kuhusu Lowassa
Naona Mwakyembye anaanza kuogopa
Amesema Si lazima kwamba lowassa aliibeba RDC bali inaweza kuwa ni katika kutekeleza suala la haraka ili kukabiliana na khali ya kupata ufumbuzi wa tatizo la umeme
Anaendelea kuelezea kamati haikupendekeza Waziri mkuu awajibishwe wala awajibike,bali walimuomba afikirie,apime uzito wa suala lenyewe na aamue nini cha kufanya.
anasema kamati yao is a fact finding organ,na sio kumhukumu mtu ,Bunge ndio lenye maamuzi ya Mwisho.
Habari zaidi kutoka eneo la tukio zimeeleza kwamba, miongoni mwa watu wanaoishi katika majengo yanayomilikiwa na kampuni hiyo, ni watoto wa waliokuwa mawaziri wawili katika Baraza la Mawaziri lililovunjwa wiki iliyopita ambao hawakuteuliwa katika serikali iliyotangazwa majuzi.
Gembe,
Good work, masikio na macho yetu yako hapa kwenye hii thread
Mapendekezo mapya
BRELA wametakiwa waifute RDC
Wamiliki wa Richmond wafunguliwe kesi ya jinai kwa udanganyifu na kuidanganya serikali
Serikali imeshauriwa Kuviboresha vitengo vya utabiri wa hali ya hewa na kitengo cha maji cha TANESCO
Serikali iendeshe uchunguzi rasmi kuhusu kama ni kweli uchunguzi wa PCCB liliharibiwa kwa kuficha ukweli.
Bunge iwe na maktaba ya kutunza kumbukumbuku ya mikataba yote,na wamewasilisha mikataba sita kwa kuanzia,ya aggregeko na tanesco
Ametoa hoja
Na wabunge wanataka kuchangia Wabunge wotewameafiki hoja hiyo.ila kuna waziri mmoja kakataa.ila spika amekataa kumtaja.Katibu kwa hatu inayo fuata
Ila nashangaa,yaani RA haguswi kabisa,sasa ukiangalia kwa umakini bado hapa kuna usanii.Wamiliki wa RDC ni kina nani na hawafahamiki,haijasajiliwa..sasa serikali itamshtaki nani kwa kosa la kuhujumu nchi?Sure na haya maamuzi mimi napendekeza yafanyiwe kazi with immediate effect!!! moto uwake, uishe tuhamie EPA n.k!
Ila nashangaa,yaani RA haguswi kabisa,sasa ukiangalia kwa umakini bado hapa kuna usanii.Wamiliki wa RDC ni kina nani na hawafahamiki,haijasajiliwa..sasa serikali itamshtaki nani kwa kosa la kuhujumu nchi?
RA still hold the country with 80% control power.hayuko bungeni,nadhani yuko na Lowassa wanaangalia huku wakigonga glass na kumsubiria BUSH
Shukrani Gembe. Hakika wewe na Dr Mwakyembe's team mmetusaidia sana Watanzania. Naona PInda anaunda tume ya kushughulikia mapendekezo ya Richmond commitee. Good start?
HAPA TUME YA KAZI GANE TANA JAMANI