Sakata la January Makamba na Pesa za NSSF: Awataka maadui zake kumkabili moja kwa moja

Nimeona andiko kwenye Gazeti la Tanzanite kuhusiana na mimi kutokomea na shilingi bilioni moja za NSSF.

Niwaondoe wasiwasi watanzania na wananchi wa Bumbuli kuwa hilo gazeti limepewa kazi ya kuhakikisha nachafuka halafu ionekane kwamba sina sifa za kuwa kwenye serikali.

Nilishasema mara nyingi na ninasema leo, nimeshajiandaa kisaikolojia kwa jambo lolote baya linalopangwa dhidi yangu, hao wanaomtuma Musiba wasihangaike kumtuma mtu mjinga.

Waje wenyewe hadharani halafu watajifunza kwanini nimekuwa kimya kwa mda mrefu:

by
Januari Makamba
Hata wewe January hupigi jungu moja kwa moja ,unashambulia kwa kuvizia ,usihofu ubatizo kama kweli umekula kodi zetu kupitia nssf
 
Nimeona andiko kwenye Gazeti la Tanzanite kuhusiana na mimi kutokomea na shilingi bilioni moja za NSSF.

Niwaondoe wasiwasi watanzania na wananchi wa Bumbuli kuwa hilo gazeti limepewa kazi ya kuhakikisha nachafuka halafu ionekane kwamba sina sifa za kuwa kwenye serikali.

Nilishasema mara nyingi na ninasema leo, nimeshajiandaa kisaikolojia kwa jambo lolote baya linalopangwa dhidi yangu, hao wanaomtuma Musiba wasihangaike kumtuma mtu mjinga.

Waje wenyewe hadharani halafu watajifunza kwanini nimekuwa kimya kwa mda mrefu:

by
Januari Makamba
"Wasihangaike kumtuma mtu mjinga".
Mwisho wa kunukuu.
 
Huu ni msumari wa Moto: Musiba nadhani kwenye hili kafanya utafiti wa kutosha
January inabidi atueleze Bilioni moja pesa za michango ya Wafanyakazi ziko wapi
Inaelezwa kuwa bilioni moja 'ilikopwa', sio kuwa 'ilichotwa'.
Pengine swali lingekuwa; iliwezekana vipi kukopeshwa 20x ya kiasi kinachoruhusiwa na kanuni za ukopeshaji huo.

Lakini nadhani maudhui ya swali lako inaeleweka, na sina hamu ya kuendeleza majibishano juu yake.
 
Anayemtumia huyo puppet msiba ni puppet master mwendawazimu jiwe. Kwanini usimtaje tu badala ya kuzuga kama vile humjui. Kumbuka kauli ya lissu the great, akimaliza kutuvuruga sisi atahamia kwenu.

Nimeona andiko kwenye Gazeti la Tanzanite kuhusiana na mimi kutokomea na shilingi bilioni moja za NSSF.

Niwaondoe wasiwasi watanzania na wananchi wa Bumbuli kuwa hilo gazeti limepewa kazi ya kuhakikisha nachafuka halafu ionekane kwamba sina sifa za kuwa kwenye serikali.

Nilishasema mara nyingi na ninasema leo, nimeshajiandaa kisaikolojia kwa jambo lolote baya linalopangwa dhidi yangu, hao wanaomtuma Musiba wasihangaike kumtuma mtu mjinga.

Waje wenyewe hadharani halafu watajifunza kwanini nimekuwa kimya kwa mda mrefu:

by
Januari Makamba
 
Mi nimechangia karibu milioni 35 hata milioni tano hawawezi kunikopesha,sasa naomba watuweke wazi ni vigezo gani ambavyo vinatakiwa ili na sisi tukope?

Wanaonufaika ni wanasiasa tu rejea Sumaye,Zitto now Makamba kweli sisi ni wanyonge.
Umemsahau na mbowe. Kapelekwa hadi mahakamani lakini amegoma kulipa deni. Hili shirika limetafunwa sana.
 
Huyo Januari atulie au apige kelele hilo atajua yeye, tulipotaka katiba mpya ipunguze madaraka ya rais yeye na chama chake waligeuza maoni ya wananchi na kuhakikisha rais anabaki na madaraka makubwa kisa ndio nguzo ya ccm kubaki madarakani. Leo nguvu hiyo hiyo aliyodhani itakuwa mbeleko kwake ndio inamjeruhi. Huyo ndio aliyeshiriki kuhujumu upinzani wakati wa kura. Ni hivi, hilo gazeti kilichoandikwa kuhusu Januari ni ukweli na nitaunga mkono kama Januari atavuliwa uwaziri kama Nape na Mwigulu. Na inatakiwa hata jina lake lisipate nafasi ya kugombea ubunge. Karma ifanye mambo yake.
Nappe, Mwigulu, Makamba ndio waliyoiingiza CCM madarakani. Kilangila.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom