Sakata la January Makamba na Pesa za NSSF: Awataka maadui zake kumkabili moja kwa moja

January arudishe tu hizo hela,tunajua Dr Dau aliwapendelea sana kina Zitto,January enzi zile za ufalme wa kiislam pale NSSF.
utumbo tu ulioandika, kama uliomba kazi hukupata usimalizie hasira kwa mtazamo wa kidini.Mashrika mangapi unakuta full mgt sio waislamu? or wafanyakzi karibia asilimia 99% sio waislam lakini wakarugenzi wao hawanyooshewi vidole?
 
Wakuu,

Kuna watafiti toka Norway waliandika Political Economy Analysis ya Tanzania na katika Ripoti yao walimhusisha January Makamba na ufisadi mkubwa kupitia NSSF.

Ripoti yenyewe nimeiambatanisha (angalia ukurasa wa 13).

Hivi, Makamba anaweza kutueleza watanzania tumwelewe kwa uzuri ili tuelewe pumba na mchele?

View attachment 1084603

Natambua kuwa hapa JF ilishajadiliwa hivi:

Pengine aliitumia kutafuta kiti cha enzi nchini,nawaza tu
 
Wanasiasa wote hawana tofauti na Januar, tofauti ni kuwa wengine hawajakamatwa. tukiwa wakweli, wengi kama siyo wote huingia siasani kwa kufuata hela pekee.
Hata hivyo januar hajaanza kuiba leo, kama hamujui ashaiba mpaka mitihani katika hatua zake za kusaka vyeti bora

La vyeti tumemsamehe, ila sio hili. Unaposema wanasiasa wezi ni wezi, ina maana hata Magufuli!?
 
utumbo tu ulioandika, kama uliomba kazi hukupata usimalizie hasira kwa mtazamo wa kidini.Mashrika mangapi unakuta full mgt sio waislamu? or wafanyakzi karibia asilimia 99% sio waislam lakini wakarugenzi wao hawanyooshewi vidole?
Wakati naandika nilijua kutatokea mawazo kama haya. Ukweli usemwe Dr Dau alitoa upendeleo kwa watu waislam. Hivi unajua alikuwa na chumba cha kuswalia pale makao makuu?
 
Wanasiasa wote hawana tofauti na Januar, tofauti ni kuwa wengine hawajakamatwa. tukiwa wakweli, wengi kama siyo wote huingia siasani kwa kufuata hela pekee.
Hata hivyo januar hajaanza kuiba leo, kama hamujui ashaiba mpaka mitihani katika hatua zake za kusaka vyeti bora
Teh teh teh

Kwaiyo wizi kazoea?
 
Wakati naandika nilijua kutatokea mawazo kama haya. Ukweli usemwe Dr Dau alitoa upendeleo kwa watu waislam. Hivi unajua alikuwa na chumba cha kuswalia pale makao makuu?
Hivi kuwa na chumba cha kusalia ndo kosa? ni sawa na wewe ukifika ofisini ukasali kwenye kiti chako kabla hujaanza kazi zako!!! kwann huongei mashirika mengine ambayo waislam hawapo kabisaaaaaa? y NSSF? unataka tukutajie? fanya research kidogo Mkuu
 
Mi nimechangia karibu milioni 35 hata milioni tano hawawezi kunikopesha,sasa naomba watuweke wazi ni vigezo gani ambavyo vinatakiwa ili na sisi tukope?

Wanaonufaika ni wanasiasa tu rejea Sumaye,Zitto now Makamba kweli sisi ni wanyonge.
 
January ni jizi linalofahamika. Hii jeuri ya kuiba pesa za umma aliipata kipindi cha JK walipokuwa wanaona nchi ni yao, tena hata hiyo 1b waliyosema ni ndogo. Wamtupe lupango atawataja wenzake walioshirikiana kuiba pesa za umma. Serekali hii haina nafasi kwa majizi.
Kumbe hua unamkubali Magu kiaina eeh?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom