Hawa ni wapumbavu kupindukia.Wakuu nimekumbana na hii screenshot inayosadikika kuwa imechukuliwa kutoka kwenye kundi la WhatsApp la maafisa mbalimbali ambao kwa jina la kundi lao ni Wasanifu Majengo "Architects"
> Nimefedheheshwa hapo huyo Afisa mmoja anasema kuna kijana wa Chama flani ndiye ametekeleza uchukuaji wa picha. Shame shame shame.......
> Yaani kijana ameripoti suala Sensitive, hao mabwana wanaingiza vyama.....
Waje kuchakalika tu, maana hizo nyufa sio za kutolea majibu ya rahisi hivyo.Kama kweli ni expansion joint effect and no need to worry, basi kesho kesho tusione watu wanachakalika nayo kupoteza ushahidi!!!
Babylon system is the vampire, ..........,Wasomi wanatia aibu nchi hii, they should simply shut up
Ina maana huyu kijana wa mrengo mwingine wa kisiasa anaweza kushughulikiwa kwa kauli na mawazo ya huyu jamaa!Asee!watu wasiojulikana wamsamehe kijana wa watu maana sasa inataka kuwa nomaWakuu nimekumbana na hii screenshot inayosadikika kuwa imechukuliwa kutoka kwenye kundi la WhatsApp la maafisa mbalimbali ambao kwa jina la kundi lao ni Wasanifu Majengo "Architects"