SAKATA LA HOSTELS: Wasomi wetu nao wanaamini kukosolewa ni chuki

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,395
Wakuu nimekumbana na hii screenshot inayosadikika kuwa imechukuliwa kutoka kwenye kundi la WhatsApp la maafisa mbalimbali ambao kwa jina la kundi lao ni Wasanifu Majengo "Architects"

> Nimefedheheshwa hapo huyo Afisa mmoja anasema kuna kijana wa Chama flani ndiye ametekeleza uchukuaji wa picha. Shame shame shame.......

> Yaani kijana ameripoti suala Sensitive, hao mabwana wanaingiza vyama.....

IMG-20171204-WA0105.jpg
 
Kama kweli ni expansion joint effect and no need to worry, basi kesho kesho tusione watu wanachakalika nayo kupoteza ushahidi!!!
 
Hawa ni wapumbavu kupindukia.
Hasa li mwakalinga
 
Nakumbuka lile jengo la ghorofa 10 lililoangukia watu miaka kadhaa nyuma, Eng. alidai ni nyufa za kawaida akawa anafunga waya kwenye nyufa, yaliyotokea tunayakumbuka!

Wakati awamu ya vita inaanza, majengo mengi yalibomolewa kwa kile kilichodaiwa kuwa yapo chini ya kiwango.
Mungu si Athman
 
Kama kweli ni expansion joint effect and no need to worry, basi kesho kesho tusione watu wanachakalika nayo kupoteza ushahidi!!!
Waje kuchakalika tu, maana hizo nyufa sio za kutolea majibu ya rahisi hivyo.
 
Nafikiri ni wakulinda maslahi binafsi. Nachukia sana tabia hii maana inaua sana accountability and professionalism
 
Wakuu nimekumbana na hii screenshot inayosadikika kuwa imechukuliwa kutoka kwenye kundi la WhatsApp la maafisa mbalimbali ambao kwa jina la kundi lao ni Wasanifu Majengo "Architects"

> Nimefedheheshwa hapo huyo Afisa mmoja anasema kuna kijana wa Chama flani ndiye ametekeleza uchukuaji wa picha. Shame shame shame.......

> Yaani kijana ameripoti suala Sensitive, hao mabwana wanaingiza vyama.....

Ina maana huyu kijana wa mrengo mwingine wa kisiasa anaweza kushughulikiwa kwa kauli na mawazo ya huyu jamaa!Asee!watu wasiojulikana wamsamehe kijana wa watu maana sasa inataka kuwa noma
 
Huu uongozi wa kununua wanasiasa badala ya kujenga viwanda utaharibu sn hii nchi
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom