Sakata la gesi mkoani Mtwara ngoma bado mbichi

Sakata la gesi mkoani Mtwara ngoma bado mbichi

CHITALICHINU

New Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Serikali inajandaa kuwatumia madiwani wa halmashauri mbalimbali ndani ya mkoa wa Mtwara na Lindi ili hao madiwani watoe somo kwa wananchi wakubali gesi ichimbwe na kupelekwa Dar hadi Bagamoyo
 
Wanataka tu kuleta uhasama kati ya hao madiwani na wananchi wenye hasira...Wanamtwara wako tayari, hawaogopi vitu vyenye ncha kali wala milipuko ya kutupwa kwa mkono, wametangaza kuwa wako tayari wauawe mkoa mzima...Mme wanyima elimu, reli mling'oa, mkawafanya wachuuzi kisha mkawabatiza jina la wamachinga...kumbe mungu anampango wake, kawapa rasilima na utajiri mwingi then mnataka kuwachukulia rasilimali zao ili waendelee kuwa wamachinga maana umatonya wao hawawezi...
...Wanamtwa kazeni buti...Dua zote njema twawaombea...Inshaa'allah Mtashinda...
 
Hii vita Wanamtwara wanapaswa waelewe sio yao peke yao! ni vita ya ukombozi wa rasrimali za Watanzania ambazo zimekua zinaliwa na wajanja wachache wa nchi hii waliopo kwenye system! tunaanza na Mtwara na inapaswa isambae nchi nzima ili rasrimali za nchi yetu zinufaishe wananchi wa eneo husika, na sehemu ya hilo pato ndio iende serikali kuu. sio kuwaachia mashimo tu huku mali yoote imekwenda kujenga Dar-es-salaam!

Historia itakuja kuwatambua kwa mchango wao wa kupigania rasrimali za nchi hii! na vilevile wanapaswa waelewe wanayo-sympathy ya nchi nzima katika hili suala! na wanakuwa katika nafasi nzuri kuliko maeneo yote ya nchi yetu kudai hiyo rasrimali iwanufaishe coz hilo ndilo lililokuwa kisingizio cha kutokupeleka maendeleo kusini!

vilevile wanapaswa waelewe kwamba wakiikosa hii opportunity kuipata tena itakuwa ngumu!na nnavyojua kwa ndugu zangu wenye madini ktk kanda ya ziwa hii issue wanaitazama kwa jicho la tatu! na wataitumia hii hii strategy ya kukataa kuchukua madini yao mpaka waelewe kwanza wao watapata nini when new opportunity comes! hii migodi iliyopo sasa it was a mistake that should not be repeated again!
 
Hao madiwani si ni sehemu ya wananchi wa huko?Wao ndo watakuwa tayari kutumiwa na watawala wa magogoni na kuwasaliti ndugu zao?
Wakithubutu kufanya hivyo watakuwa wamejikatia tiketi ya wao na familia zao kuhama huko.

Serikali kwa nini inataka kuzidi kuongeza gharama kwa matumizi ya fedha za watanzania kuwatuma madiwani kufanya kazi hiyo?Coz bila shaka watapewa posho.
Mbona suluhu ya sakata hili ni simple tu! MITAMBO YA KUFUA UMEME WANAYOTAKA KUIJENGA KINYEREZI, WAIJENGE HUKO MTWARA NA KISHA HUO UMEME WAUINGIZE KWENYE GRIDI YA TAIFA, baaaasi!
Lakini kwa kuwa kufanya hivyo wataikosa ile pesa wanayotaka kuipiga, hata simple calculations wanashindwa kufanya!

WANA KUSINI MSIKUBALI GESI HIYO IONDOKE HUKO, VINGINEVYO MTABAKIA MASIKINI DAIMA

GESI KWANZA!
 
Iliwahi kuenezwa propaganda mwaka 2005 wakati Mbowe anagombea urais kwamba Mchaga asipewe nchi kwa maana atapeleka maendeleo kwao ila sasa naona kwa JK asiye mchaga ila anavutia kila kitu kiende nyumbani kwake Bagamoyo.

Nitawaona madiwani hao kama mashujaa endapo watachukua uamuzi wa kujiuzulu kupinga kushurutishwa kuwahujumu wananchi.

Wanamtwara tuwe na msimamo mmoja, hakuna gesi kutoka Mtwara mpaka kieleweke, hoja zetu za msingi zitekelezwe kwanza na sio ahadi hewa.
Mitambo yote inayopangwa kujengwa bagamoyo ijengwe mtwara huko Dar na Bagamoyo ziende waya na nguzo tu.
 
hii vita wanamtwara wanapaswa waelewe sio yao peke yao! ni vita ya ukombozi wa rasrimali za watanzania ambazo zimekua zinaliwa na wajanja wachache wa nchi hii waliopo kwenye system! tunaanza na mtwara na inapaswa isambae nchi nzima ili rasrimali za nchi yetu zinufaishe wananchi wa eneo husika, na sehemu ya hilo pato ndio iende serikali kuu. sio kuwaachia mashimo tu huku mali yoote imekwenda kujenga dar-es-salaam!
historia itakuja kuwatambua kwa mchango wao wa kupigania rasrimali za nchi hii! na vilevile wanapaswa waelewe wanayo-sympathy ya nchi nzima katika hili suala! na wanakuwa katika nafasi nzuri kuliko maeneo yote ya nchi yetu kudai hiyo rasrimali iwanufaishe coz hilo ndilo lililokuwa kisingizio cha kutokupeleka maendeleo kusini!
vilevile wanapaswa waelewe kwamba wakiikosa hii opportunity kuipata tena itakuwa ngumu!na nnavyojua kwa ndugu zangu wenye madini ktk kanda ya ziwa hii issue wanaitazama kwa jicho la tatu! na wataitumia hii hii strategy ya kukataa kuchukua madini yao mpaka waelewe kwanza wao watapata nini when new opportunity comes! hii migodi iliyopo sasa it was a mistake that should not be repeated again!
Kamanda nakukubali.ni kweli huu ni mwanzo tu,wa Wadangayika kuanza kuelewa haki zao na kudai kutoka kwa Mkoloni mweusi CCM.,,,,niwashauri wana Mtwara na Lindi kwamba kuna usemi ambao hupendwa kutumiwa na kamanda Lema,husemao NI HERI VITA INAYOTAFUTA HAKI KULIKO AMANI INAYO PUMBAZA NA KUZALILISHA UTU WA MWANADAMU..wanamtwara na Lindi,komaeni kisawasawa.mkicheka na Nyani,,,,,,,,,,,,,,!kamuulizeni Nimrod Mkono..,jimboni kwake wamebakiwa tu na Mashimo.siku zote ukombozi huanzia sehemu moja,na kusambaa kwingine! Huu ni mwanzo tu,bado mengi yataibuka ni swala la wakati tu.subirini tu mtaona.
 
serikali inajandaa kuwatumia madiwani wa halmashauri mbalimbali ndani ya mkoa wa mtwara na lindi ili hao madiwani watoe somo kwa wananchi wakubali gesi ichimbwe na kupelekwa dar hadi bagamoyo

Sifikirii kama hawa jamaa watabadili msimamo wa gesi kutoka kabla ya kuwaletea maendeleo wao kwanza, kwa sababu wanaomba kufanya maandamano, hasa watu wa mtwara ili kumng'oa mkuu wa mkoa, halafu wanataka kuwang'oa wabunge wote wa mkoa wa mtwara na madiwani wote sasa hiyo elimu itaeleweka vipi, kwa habari ni kwamba diwani yule wa kata mabayo kuna kijiji gesi inatoka jana alikimbia nyumba na kulala mjini kwa sababu alitaka kupigwa na wananchi wake kwa tuhuma za kutowaambia kuwa simbachawene ana ziara kwao, simabachawene mwenyewe aliishia njiani kwani walikuwa wanamsubiri ili wampige na walishapanga mawe njiani, kwa hiyo ukitoa elimu eti gesi itoke sawasawa na kutaka kufa tu
 
Wanataka tu kuleta uhasama kati ya hao madiwani na wananchi wenye hasira...Wanamtwara wako tayari, hawaogopi vitu vyenye ncha kali wala milipuko ya kutupwa kwa mkono, wametangaza kuwa wako tayari wauawe mkoa mzima...Mme wanyima elimu, reli mling'oa, mkawafanya wachuuzi kisha mkawabatiza jina la wamachinga...kumbe mungu anampango wake, kawapa rasilima na utajiri mwingi then mnataka kuwachukulia rasilimali zao ili waendelee kuwa wamachinga maana umatonya wao hawawezi...
...Wanamtwa kazeni buti...Dua zote njema twawaombea...Inshaa'allah Mtashinda...

Mtwara tumeamua kumvisha paka kengele
 
Mikoa yote wamejaribu lakini swala lagesi halina majaribio, hii kengele mafisadi wataivaa tu na watu wa Dar wasidhani kama gesi wanaletewa wao, itapitilza hadi kwemnye bandari inayojengwa Bagamoyo ikitoka hapo itapanda meli na kuelekeeeeeeeeeeeeeeeeee nje ya nchi na si ajabu hata gesi ikija mgao wa umeme ukaongezeka na bili zikawa kubwa zaidi, tumeamua kuifanya tanzania kuwa mahala pema pa kuishi na sio kama ilivyo sasa wote
 
CCM watu hatarii! kumbe wamekopa pesa trioni 186 toka Exim bank ya china si kwa ajili ya kujenga bomba la gesi toka Mtwara hadi Dar ila izo hela ni kwa ajili ya uchaguzi ujao. sasa wana Mtwara tulipozinduka wamechanganyikiwa izo hela watazirudishaje
 
Nimefurahishwa na msimamo wa Wanamtwara!! Hapo hakuna cha CHAWENE wala aliyomteuwa!
 
hii vita wanamtwara wanapaswa waelewe sio yao peke yao! Ni vita ya ukombozi wa rasrimali za watanzania ambazo zimekua zinaliwa na wajanja wachache wa nchi hii waliopo kwenye system! Tunaanza na mtwara na inapaswa isambae nchi nzima ili rasrimali za nchi yetu zinufaishe wananchi wa eneo husika, na sehemu ya hilo pato ndio iende serikali kuu. Sio kuwaachia mashimo tu huku mali yoote imekwenda kujenga dar-es-salaam!
Historia itakuja kuwatambua kwa mchango wao wa kupigania rasrimali za nchi hii! Na vilevile wanapaswa waelewe wanayo-sympathy ya nchi nzima katika hili suala! Na wanakuwa katika nafasi nzuri kuliko maeneo yote ya nchi yetu kudai hiyo rasrimali iwanufaishe coz hilo ndilo lililokuwa kisingizio cha kutokupeleka maendeleo kusini!
Vilevile wanapaswa waelewe kwamba wakiikosa hii opportunity kuipata tena itakuwa ngumu!na nnavyojua kwa ndugu zangu wenye madini ktk kanda ya ziwa hii issue wanaitazama kwa jicho la tatu! Na wataitumia hii hii strategy ya kukataa kuchukua madini yao mpaka waelewe kwanza wao watapata nini when new opportunity comes! Hii migodi iliyopo sasa it was a mistake that should not be repeated again!
mkuu swala la gesi ni mkataba wa mkulu na wachina,hii ni kutokana na mwanae aliyeshikwa na unga china ilibidi anyongwe,mkulu akakimbia toka rwanda na burundi alikokuwa kwenye sherehe za uhuru,kwenda kumwokoa mwanawe,wachina wlikataa mkuu akawambia atawapa mkataba wa kuchukua gesi madini na mikataba mingine,hivi hii gesi ni mwanzo tu,kwa hiyo wanajamvi wanakusini huyu anayetugharimu ni mtoto wa mkulu.tunalipa gharama ya kuachwa asinyongwe.tusikubali watu wa mtwara kuibiwa hii zawadi tulopewa na mungu,aluta continua.
 
Mnatustua wanabagamoyo, hali ya maisha kwetu ni ngumu, ngumu ucpime, kwamba gasi ya mtwara yaja bagamoyo c kweli, pori tu huku. Hakuna cha bandar Wala viwanda, fikeni mjionee
 
Zanzibar walisha ishitukia Tanzania bara mapema kuhusu mafuta yao. Tuliwaona wabinafsi, lakini wenzetu waligundua kuwa watu tayari watakuwa wamewekewa pesa Uswisi! Hiyo dili imeamia kwenye bomba la gesi la Mtwara. Mambo waliyoyakataa wa Zanzibari ndiyo yanayotokea hivi sasa kwenye bomba la gesi la Mtwara.Walitaka mafuta yakichimbwa Zanzibar, wangelazimisha yasafirishwe kwa bomba hadi Dar ambako wangejenga mitambo ya kuchakata(refinery), na Wazanzibari ingekuwa imekula kwao! Ndiyo maana hawataki suala la mafuta liwe kwenye Muungano kwavile hawatanufaika na maliasili hiyo!
 
kusini nawajua ndg zangu hawa tukiamini kitu first hand information huwa ngumu sana kubadilika sisi wamakonde ndio zetu
hatunaga kubadilika hovyo kama watu wengine hili la gesi watachemsha magamba nakwambia sijui ninikitokee hii vita tutashinda, walitunyima elimu,barabara kwakigezo hakuna miundombinu leo barabara kilo meta60 hazijaiisha toka mkapa aingie sasa hiki ndio kigezo tosha kufanya maendeleo pengine wataimalizia eti wajenge bomba la gesi from mt-dar waanze barabara kwnza,watu wakihamishiwa mtwara wako tayari kuacha kazi kisa hakuna maendeleoa haya leo God kaleta neema ooh iende dar wee hna huyo muhongo sijui muhogo anaishia kututusi hatuna elim yye vyeti vy south ndio vinampa jeuri km yy anaakili sana na ameelimika mbona hajambi hiyo gesi walisema akia babra na geredi hando wajinga wenzake wajaze mitambo wa dar watumie senje kabisa hovyo, na watajua magamba mwaka huu. na sasa naenda kuchukua jimbo la membe wako.
 
tanzania tanzania tanzania nakupenda kwa moyo wote*2 imekuwa kinyume sasa. Tumevumilia vya kutosha wamakonde sasa baaaaaaaaaaaasi!! wao wanabinduki sisi tuna nchale
 
Back
Top Bottom