Heavy equipment
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,456
- 1,009
Habari wakuu kuna habari zimezagaa hapa dodoma kuhusiana na sakata la gesi na chama cuf, baadhi ya watu wa karibu na msajili wa vyama vya siasa wanadai '' barua ya mapendekezo ya kukifuta chama cha cuf kwa kuwa kinachochea mgogoro na uvunjifu wa amani maeneo ya lindi na mtwara imetua kwa JOHN TENDWA kwa hatua zaidi'' na hii inathibitisha ndio maana raisi JK kasema hawataogopa hata kama anamapembe maana yake ni ''cuf wako kwenye ndoa na serikali ndio maana ya mapembe'' nawasilisha pale nikapoendelea kupata habari kutoka mnyetishaji
wanataka kupiga nyeto?
wanataka kupiga nyeto?
Kumbe nawewe sikumojamoja unakuaga na pensamento ai na tua cabeca ne?Hadi itakapokua taarifa rasmi ndio ntatoa povu, kwa sasa acha nifulie nguo hili povu langu.
Ni sawa na kugombania mapato ya hela ya kuokota kabla hata hamjaokota.
Habari wakuu kuna habari zimezagaa hapa dodoma kuhusiana na sakata la gesi na chama cuf, baadhi ya watu wa karibu na msajili wa vyama vya siasa wanadai '' barua ya mapendekezo ya kukifuta chama cha cuf kwa kuwa kinachochea mgogoro na uvunjifu wa amani maeneo ya lindi na mtwara imetua kwa JOHN TENDWA kwa hatua zaidi'' na hii inathibitisha ndio maana raisi JK kasema hawataogopa hata kama anamapembe maana yake ni ''cuf wako kwenye ndoa na serikali ndio maana ya mapembe'' nawasilisha pale nikapoendelea kupata habari kutoka mnyetishaji
mume anataka ampe talaka mke kiaina kwa kisingizio cha vulugu ya ntwara ili 2015 anapoelekea kaburini asiache mjane.............
Kwa kafu sidhahi ila ingekuwa chadema wangefikiria hivo ila wasingeweza pia!