Aisee, kwa hiyo alipewa ridhaa na klabu atoe mipasho hiyo!Kwa ridhaa ya timu ya Yanga (klabu ya Wananchi) napenda kuongelea kwa mara ya mwisho sakata la mdogo wetu Feisal Salum na kilichotokea jana;
...Mambo ya sijui mimi namwakilisha Drogba hayatuhusu. Hata kama ungekuwa unamwakilisha Messi na Ronaldo, dakika 10 ni nyingi sana kujibu hoja.
@Scars wakili uchwara tupe sababu kwanini mteja wako haendi kwa muajiri wakeNataka kuelewa, nini kinamfanya Fei asiende Yanga mwenyewe kuvunja mkataba?
Anaandika Wakili Msomi simon.esq, Mkurugenzi wa sheria wa Yanga Sc
_____________
Kwa ridhaa ya timu ya Yanga (klabu ya Wananchi) napenda kuongelea kwa mara ya mwisho sakata la mdogo wetu Feisal Salum na kilichotokea jana.
Mkurugenzi wa Sheria - Yanga Sc
Mdogo wetu Feisal anaua kipaji yakeAende sasa akakae na timu yake avunje mkataba. Siyo aendelee kujificha kama digidigi. Aachane pia na hao wapuuzi wake wanaompotezea muda na fedha zake.
Mambo ya kusema mimi ni wakili wa Drogba! Sijui nilisimamia mkataba wa Emmanuel Eboue, Simon Msuva, nk. Unaihusu nini klabu ya Yanga na mchezaji wake?
Hoja mufilisi.Hatimae Wakili kapata pakupanulia domo lake, baada ya kugalagazwa sana kisheria kwa kesi rukuki hapo Yanga,,.
Anapata jeuri hiyo baada ya Tff kupokea maelekezo ya wanasiasa kwamba fei aminywe mpaka atoke damu.. Baada ya wanasiasa,viongozi wa hapo klabun kumpigia magoti Fei arudi klabun na kugoma wameona wamkomoe,.
Nachoamini Feisal atacheza mpira msimu ujao, na hatoichezea Yanga, sheria zipo zinawalinda wachezaji
Ma Tycon wa Sheria za soka tunaingia Front Sasa subilini kifinyo huko mbele
Jinga lingine hili.... Huko mbele wapi?, Nenda kamsaidie saizi. Mnaleta utahira kwenye Mambo ya sheria pumbavu kabisa.Hatimae Wakili kapata pakupanulia domo lake, baada ya kugalagazwa sana kisheria kwa kesi rukuki hapo Yanga,,.
Anapata jeuri hiyo baada ya Tff kupokea maelekezo ya wanasiasa kwamba fei aminywe mpaka atoke damu.. Baada ya wanasiasa,viongozi wa hapo klabun kumpigia magoti Fei arudi klabun na kugoma wameona wamkomoe,.
Nachoamini Feisal atacheza mpira msimu ujao, na hatoichezea Yanga, sheria zipo zinawalinda wachezaji
Ma Tycon wa Sheria za soka tunaingia Front Sasa subilini kifinyo huko mbele
Sasa kama yeye anataka kuondoka kwanini wamlazimishe abaki hapo?Mdogo wetu Feisal anaua kipaji yake
Afate utaratibu tu… kama hivyo kila mchezaji akiwa anataka kuhama anajiamulia tu, hakuna mpira wa hivyo dunia nzimaSasa kama yeye anataka kuondoka kwanini wamlazimishe abaki hapo?
Ova
Unaniangusha bro.Sasa kama yeye anataka kuondoka kwanini wamlazimishe abaki hapo?
Ova
Subilini ndio nini?Hatimae Wakili kapata pakupanulia domo lake, baada ya kugalagazwa sana kisheria kwa kesi rukuki hapo Yanga,,.
Anapata jeuri hiyo baada ya Tff kupokea maelekezo ya wanasiasa kwamba fei aminywe mpaka atoke damu.. Baada ya wanasiasa,viongozi wa hapo klabun kumpigia magoti Fei arudi klabun na kugoma wameona wamkomoe,.
Nachoamini Feisal atacheza mpira msimu ujao, na hatoichezea Yanga, sheria zipo zinawalinda wachezaji
Ma Tycon wa Sheria za soka tunaingia Front Sasa subilini kifinyo huko mbele
Mwanasheria hujui kutofautisha kati ya R na L utashinda kesi gani?Hatimae Wakili kapata pakupanulia domo lake, baada ya kugalagazwa sana kisheria kwa kesi rukuki hapo Yanga,,.
Anapata jeuri hiyo baada ya Tff kupokea maelekezo ya wanasiasa kwamba fei aminywe mpaka atoke damu.. Baada ya wanasiasa,viongozi wa hapo klabun kumpigia magoti Fei arudi klabun na kugoma wameona wamkomoe,.
Nachoamini Feisal atacheza mpira msimu ujao, na hatoichezea Yanga, sheria zipo zinawalinda wachezaji
Ma Tycon wa Sheria za soka tunaingia Front Sasa subilini kifinyo huko mbele
Ametia aibu sana.Mwanasheria hujui kutofautisha kati ya R na L utashinda kesi gani?
Kwa nn asiende CAS kila siku anarudi tffHatimae Wakili kapata pakupanulia domo lake, baada ya kugalagazwa sana kisheria kwa kesi rukuki hapo Yanga,,.