Sakata la Dawa za Kulevya: Askofu Gwajima atema cheche, adai RC Makonda anatumika

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Heshima kwenu wakuu,

Askofu mkuu Mkk wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima, atema cheche baada ya kutuhumiwa kuhusu madawa ya kulevya.

Soon nawapa Updates kinachojiri.

======

UPDATES;

======

Gwajima: Lengo la kikao hiki cha leo ni kuwajulisha Maaskofu wenzangu kwamba ni nini kimetokea baada ya mkoa wa mkoa kutamkwa kwamba ama anawahitaji watu wasaidie kuidentify swala la madawa ya kulevya au anawataka wanaojihusisha au kutumia madawa ya kulevya. Mimi likuwa safarini Mpwapwa jana nikasikia kwamba jina la Askofu Gwajima limetajwa na mkuu wa mkoa

Gwajima: Sijawahi kunywa Pombe wala sijawahi kuvuta sigara, Mimi nlikuwa mgonjwa hadi nlipookoka nikawa mchungaji moja kwa moja. Kama sijawahi kuvuta sigara siwezi kuwa natumia madawa ya kulevya.

Gwajima: Nakumbuka Kuna siku Makonda alikuwa anahutubia, akamwambia Waziri mkuu eti nlipiga marufuku shisha lakini imerudi, hawa wavuta shisha waliniletea Milion 5 nikakataa akasema lakini naamini kamanda Siro hizi milioni tano tano zimepita kwao. Makonda alidiliki kumtuhumu Waziri MKuu eti Karudisha Shisha!?. DC Makonda ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar, kwanini hakuisemea kwenye Vikao, Kwanini alisubiri Media?

Gwajima: Safari hii kamfikia kiongozi wa Kiroho, huu ni unafiki sana. Huweze kumuita rafiki yako kaka yako namna hii.

Gwajima: Sasa leo nataka niwambie kwanini Makonda anafanya hivi;

1. Nataka niwambie, Rais hajamtuma Makonda atutuhumu sisi

2. System za Serikali zimeparalyse kwa sababu watendaji wa Serikali na Mawaziri wanamuona Makonda ni Mkono wa kiume wa Rais. Wanafikiri labda kwakuwa Makonda ni Msukuma basi atakuwa anatumwa na rais, Rais hawezi kufanya hivyo. Mawaziri wamekosa neno wamekaa Kimya.

Gwajima: Nani anatakiwa kuniita mimi kama Askofu Mkuu Polisi? Ni Polisi sio Makonda. Makonda anajiona kama Mkuu wa Wakuu wa Mikoa yote na Mawaziri wote.

Gwajima: Sio desturi ya rais hata kidogo eti awatenge Mawaziri wake eti aongee na Makonda. Rais alikuwa anampongeza makonda kwa sababu kafanya Vizuri. Makonda anaujasiri na anajituma hivyo rais kumpongeza ni halali. Makonda anaweza kuwa Kiongozi Muu siku zijazo kama akiondoa baadhi ya Hitilafu.

Gwajima: Makonda angeweza kunipigia simu au Kuwagiza Polisi wakaniletea samasi au kuniita.

Gwajima: Nia ya Makonda ni kutaka jina la Gwajima liharibike. Kama Gwajima hafanyi na hajihusishi na Madawa ya kulevya watu wa Usalama wanajua. Nmefanya hii kazi ya Uchungaji kwa Miaka 20.

Gwajima: Si kweli kwamba makonda anatumwa na Rais Magufuli, rais ana tabia ya kupongeza saa nyingine anapiga simu Clouds kupongeza pale wanapofanya Vizuri.

Gwajima: Sisi tunamuunga mkono Mheshimiwa rais hata kama kwenye uchaguzi hatujamuunga mkono, Lakini kwa kuwa amechaguliwa yeye tunamuunga mkono

Gwajima: Naamin Makonda hajajificha kwenye "Usukuma" wake.

Gwajima: Namuomba rais amkanye Makonda. Chuki zake binafsi za mtu mmoja mmoja asiziingize kwenye system ya Serikali, ni hatari sana

Gwajima: Makonda ni Mchapakazi lakini Mambo ya Utawala hawezi, namuomba rais amtafutie kazi nyingine, nashauri umtafutie kazi nyingine, sio umfukuze.

Gwajima: Chini yangu kuna Maaskofu 125. Kesho wataogopa nao watasemwa

Gwajima: Kuna siku Paul Makonda, Sitta na Mwakyembe walikuja kanisani kwangu hata CD ninazo na alihutubia hapa kwenye Madhabahu akinisifia sana, Leo ni kitu gani kimemfanya anichafue?

Gwajima: Je ikiwa Gwajima hahusiki, itakuwaje?

Gwajima: Kitu gani kimemfanya makonda aiseme Gwajima anatumia Madawa ya Kulevya. Kama Gwajima hatumii, Je Makonda anafanya Hivyo ili afurahi nani? Niseme ukweli mimi nlikuwa Mkali juu ya Serikali ya awamu ya nne, Nilikuwa mkali juu ya Kikwete juu ya utawala na juu ya Mambo yaliyokuwa yanaendelea.

Na nliyasema wazi kwamba sikupenda mwaka mzima flow meter kutokufanya kazi, Miaka kwa miaka Tembo wanakufa. Nlimsema sana Kikwete na Mtu ambaye anaweza kuniona vibaya ni kIkwete sababu nlimsema sana. Hivyo Anannataka Kikwete na regime iliyopita ifurahi..wafurahi kwamba Gwajima sasa kakomeshwa kakomeshwa kakomeshwa.

Gwajima: Dr Slaa alifunguliwa kesi kule mahakamani na ridhiwani, Kwamba Dr. Slaa alimsema Ridhiwani kwamba anajihusisha na madawa ya kulevya, ndo maana akamfungulia kesi, kesi iliendelea sijui iliishia wapi.

Gwajima: Sasa Cha kujiuliza, wale waliwahi kusemwa na wanasiasa, halafu wakafungua kesi, halafu leo Mkuu wa mkoa ndo yupo na wao anataka mimi niharibikiwe ili wafurahi wale wa madawa ya kulevya. Unajiuliza hakika wanaojihusisha na madawa ya kulevya wapo ambao mkuu wa mkoa anawafahamu, lakini pia najitahidi kufunika kombe ili mwanahalamu apite kwa kuwataja individuals lakini wale halisi kabisa anawafahamu

Gwajima: Nani anamtumia Makonda?

Gwajima: Makonda ana nia ovu juu yangu na juu ya Wakristo. Anataka kuwaaminisha watu kwamba wokovu haupo.

Gwajima: Mimi nataka kununua ndege nyingine ili nianzishe chuo cha ndege, mbona sipongezwi kwa hilo?

Gwajima: Jambo hili alilofanya si sawa na si sahihi.

Gwajima: Wabunge wamepiga kelele juu ya jambo hili, sisi wananchi tusio na sehemu ya kuongea tufanyeje?

Gwajima: Namfahamu rais Magufuli, hawezi kumpendelea kwa kuwa ni mtu wa kwao (Msukuma). Rais anawapenda watu wote anawapenda Mawaziri wote na watendaji wote wa Serikali. Naamin rais hajamtuma Makonda.

Gwajima: Nguvu katika mikono isiyo sahihi ni hatari sana.

Gwajima: Juzi kati tulikuwa na mechi kati ya maasikofu na viongozi, Mimi nlikuwa namba kumi yeye namba 09. Alikuwa ananiangalia macho baya sana mamcho alikuwa ananiangalia nayo nmekuja na helcopter ni macho ya chuki sana. Mimi, Makonda, kamanda Sirro Spika wa Bunge tulikuwa tunamechi si angenikamata hapo?

*Kuna watu walikuwa wanauza madawa ya kulevya, katika uongozi huu wale walikuwa wanauza madawa ya kulevya wamebadili majina na wanafanya biashara nyingine. Walikuwa na jina B sasa wamebadilisha jina.
 
Tupe up date mkuu na si kujaribu tu kuwa wa kwanza kuleta Uzi!!

Ukiwa upo eneo la tukio leta habari kamili!!
 
Hivi Gwajima huwa hana Radio kama kina Mwingira?!Maana Manji licha ya kuwa katinga Polisi na mawakili 8 ,6 wa Tz na 2 wa nje,lakini amelitumia vyema gazeti la Jambo Leo,kurasa za mbele na nyuma ni yeye,Nafikiri alilinunua toka kwa kina Juma Pinto,au atakuwa na "share" kubwa kuzidi kina Juma Pinto.Japo kwa asili,hii Jambo ni kampuni ya Juma Pinto.

Juma Pinto!!Down Town kitambo....Mtoto wa mjini,ndio yule Camera za Airport zilimuonyesha ndio alimsindikiza Masogange mpaka dakika za mwisho pale Airport siku alipokamatwa O.Thambo International Airport na mzigo wa maana.

Dulu za uchunguzi zikaonyesha,kabla Masogange hajaondoka na South Africa Airways,Flight # 187 yenye usajili wa ZS-SJF,alitoka kwenye Mgahawa wa Juma Pinto ulio katikati ya jiji.Na yule dada aliyekamatwa na Masogange kule Bondeni,alikuwa ni mfanyakazi wa mgahawa wa Juma Pinto pale katikati ya mji.

Kwa hiyo wewe unganisha tu dots...huna haja ya kuanza kusema Manji katoa rushwa,sijui kanunua gazeti!!Anaweza tu kuwa anasaidiwa na wenzake kujisafisha,maana hujui yeye aliwahi kuwasaidia nini huko nyuma.

Hivi vita ni vuzuri tu,maana wengine tuna vijana wetu wa kuwalea na kuwakuza wamekuwa mateja,toka tunaanza kuwalipia ada za shule mpaka chuo,sasa tunalipa "ada" za Rehabilitation kwenye "Soba House".Ukisikia mtu ni muuzaji,unaweza mpiga makonde.

Lkn Manji awe mkweli tu,hatumiii??Maana watu wanajua huwa analala ofisini hata siku nzima kwa kubwia.Inajulikana pia kwenye ile "private jet" yake nini hufanyika ndani.Na namna anavyoweza kupita pale Airport kama VIP...na watu badala ya ku-concentrate kumkagua,basi wanatoa macho kwenye "tips",kuanzia walinzi mpaka polisi.

Kwa hiyo ushahidi tu wa moja kwa moja ndio tabu,ila kusema huyu bwana yupo "associated" na haya madubwana,sio jambo geni sana.

Huyu Mbowe,yeye ataitwa atoe maelezo tu.Ile Club yake ya Billicanas ni moja ya "soko" kubwa la dawa katikati ya Jiji.Je anaweza kujua wale wauzaji ndani ya Club yake wanapata wapi mzigo?Na alichukua hatua gani kujua sehemu ya wateja ktk Club anayomiliki wanafanya biashara hiyo!Japo sasa anaweza kusema hata hiyo Club "mlishaninyang'anya"...Na hata hivyo,mmiliki mwenza NHC naye ilibidi aitwe,atoe maelezo kama anajua moja ya jengo lake kunauzwa unga.

Bahati mbaya au nzuri kwa Mbowe,ushahidi wameufuta wenyewe serikali...Maana kile kieneo vijana walikuwa wakitafuna unga ili wapande vizuri stejini kuimba,kimepitiwa na tingatinga.Ushahidi kwisha...

Kavita hata ni kagumu sana!!!Leo naona hili gazeti mapaka habari za Michezo ni kumtetea tu Manji.Kuanzia Captain wa Yanga mpaka mfua jezi!!Na Manji anasema Makonda anataka kuiuwa Yanga,ile WanaYanga wanunuw ugomvi!!

Huyu kanjibahi "approach" yake mbaya!!Yule Ngosha hajaribiwi...Yaani kama ni "chizi" basi yule ni zaidi ya Manji...Atajilaumu bure ktk utawala huu!!Unamuita Mkuu wa Mkoa "Mpumb..avu?"

Huyu Gwajima asiropoke sana,maana biashara zake na wale Wakorea wanaokuja kwa gia ya utumishi inajulikana.Mitandao yake inaeleweka tu.Sidhani kama katajwa kimakosa,shida atakayopata Makonda ni ile kuthibitisha moja kwa moja!!Lkn si siri sana!Nasubiri Gwajima aongee halafu tuje tumuulize hapa maswali ayajibu.

Nimejaribu tu kuchambua uhusika wa hawa Watatu...Sio lazima uamini,lkn huu uchambuzi ni kwa uelewa wangu juu ya vita hivi
 
Alafu hawa wote si walokole? Ngoja tuone nguvu za kiroho hapa zikifanya kazi kwa wapendwa wetu hawa.

Tena mmoja ni mchungaji wa aliye mtuhumu. Dah! Hapa kazi kweli kweli. Utambarikije anaye kuchomea nguru?? Ka ni nafasi ya uchungaji si ampe??
 
Tawire baba
 
Mkuu heshima yako!
 
barafu...nakusoma kwa "utuvu mwingi" nikiwa nimevaa mawani ya 3D.
 
Back
Top Bottom