Sakata la Clouds media lina baraka?

Dumelo

Senior Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
139
Reaction score
235
Nimejikuta nawaza mbali sana, kama Mh Rais ambaye alikua kila mara akipiga simu CloudsTv na kupongeza mara kwa mara, baada ya tukio la uvamizi, mpaka sasa sijaona Mkuu akipiga simu hata kutoa pole kwa kilichotokea.

Je, ni kweli haoni au ameziba masikio kwamba hili ni tukio la kawaida kabisa? Je, ni kweli kwamba mkuu ndo aliyemtuma Bw mdogo, kufanya alichokifanya? Ninabaki na maswali mengi sana yasiyokua na majibu.

Hata hili la kuhojiwa na Tume ya Nape, nilijua tu kwamba itakua ngumu sana kutoa Ushirikiano kwa kibuli na kile kilichojificha nyuma ya aliyemtuma.
 
Apuuzwe tu huyu Msukuma akikua ataacha
 
kwa mujibu wa mange eti alikuwa anamfukuzia baby kabae ndio simu zote zile......
 

Inaonekana Ngosha mkubwa ndio director wa hii sinema nzima.
 
Jmani kuweni wapole, atapiga simu tu, kwani si mmeambiwa kuwa watangazaji wa shiwaladu wamepewa mapumziko ya muda, wakirudi kwenye kipindi mzee atawapigia kuwasalimu kwamaana kasema yeyey anasikiliza shiwaladu pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…