mastersajenti
Senior Member
- Dec 4, 2015
- 165
- 24
Ninashangazwa sana Na vitendo vinavyofanywa Na viongozi Wa CCM ikiwaagiza watendaji wake "WAKURUGENZI" kuhakikisha Mgombea Wa CCM anakuwa Meya .
Hali hiyo tumeishuhudia maeneo mengi yakiwemo ya Kinondoni , Tanga n.k.Maeneo yote ambayo CCM ina madiwani wachache ndio maeneo ambayo kunatokea vurugu kwani CCM inalazimisha kushinda licha ya kuwa ina madiwani wachache ukweli Vitendo vinavyofanywa Na viongozi Wa CCM na Serikali in kutaka kuiingiza nchi kwenye migogoro Na chuki Kwa wananchi Kwa nini CCM haikubali kushindwa pale inapoona inatakiwa kushindwa?
Suala la Zanzibar no CCM hiyo hiyo imeuvuruga uchaguzi baada ya kuona imeshindwa.Leo unataka mazungumzo Na CUF wakati unaendelea kumpoka ushindi?
Viongozi Wa Dini nao wako kimya wakati wanaona CCM inavuruga Amani wakati wanaona CCM inadhurumu Haki.