Habari zenu wana MMU,
Wataalamu naomba kujua kuna mahusiano gani kati ya saizi ya uume na nguvu za kiume!
Namaanisha ukubwa au udogo wa uume una madhara gani katika nguvu za kiume?
Karibuni wataalamu
Note: Kama utapost MATUSI au PUMBA then count Yourself Stupid.!