GE2025 Saikolojia ya Wananchi na Nchi kwa Ujumla ni kama hawautaki Uchaguzi wa Mwaka huu. Umedoda sana. Umekosa amsha amsha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
36,228
Reaction score
60,545
Mwezi kama huu Mwezi Julai, pangekuwa Patashika Nguo Kuchanika.

Kwa mliokuwa hai mwaka 2015 na 2020, harakati za uchaguzi zilioesha shamla shamla kiasi kwamba wananchi wanasahau shida zao angalau kwa kipindi kifupi.

Mpaka inafika julai kila.mwananchi ameshatafuta kichinjio, kiparata au kitambulisho cha kupigia kura. Wengine hadi tunavisafiri umbali mrefu.

Nimezunguma mikoa ya kaskazini, kanda ya ziwa, kanda ya kati na Pwani kiukweli wananchi hawaonekani kuwa na Mwamko ule ule unaokuwepo wakati wa Mwaka wa Uchaguzi.

Kwa ujumla Public Psychology inaonesha kuna Depression au sonona ya Chaguzi zijazo. Zimekosa Mvuto, Ukimya umezidi.

Wewe huko uliko hali ikoje?
 
Unaenda kumchagua “mchaguliwa” hivi hata wewe utatamani kushiriki huo ujinga?

Huwa nawashangaa wanaofanya huu ujinga,mara ya mwisho kujitoa ufahamu ilikuwa 2015 kutoka hapo nikajiapiza kutopoteza tena muda wangu kwenye ujinga huo.
 
Mwaka huu kuna uteuzi siyo uchaguzi..so tunalala that day
 
Hisia zako!

Subilia kampeni zianze kaka
 
Unaenda kumchagua “mchaguliwa” hivi hata wewe utatamani kushiriki huo ujinga?

Huwa nawashangaa wanaofanya huu ujinga,mara ya mwisho kujitoa ufahamu ilikuwa 2015 kutoka hapo nikajiapiza kutopoteza tena muda wangu kwenye ujinga huo.
Mkuu wewe ni Elites ya nini ukate tamaa kirahisi?
 
Mwezi kama huu Mwezi Julai, pangekuwa Patashika Nguo Kuchanika.

Kwa mliokuwa hai mwaka 2015 na 2020, harakati za uchaguzi zilioesha shamla shamla kiasi kwamba wananchi wanasahau shida zao angalau kwa kipindi kifupi.

Mpaka inafika julai kila.mwananchi ameshatafuta kichinjio, kiparata au kitambulisho cha kupigia kura. Wengine hadi tunavisafiri umbali mrefu.

Nimezunguma mikoa ya kaskazini, kanda ya ziwa, kanda ya kati na Pwani kiukweli wananchi hawaonekani kuwa na Mwamko ule ule unaokuwepo wakati wa Mwaka wa Uchaguzi.

Kwa ujumla Public Psychology inaonesha kuna Depression au sonona ya Chaguzi zijazo. Zimekosa Mvuto, Ukimya umezidi.

Wewe huko uliko hali ikoje?
Huku ni No reforms, no elections. Wananchi hawana habari na uchafuzi
 
Mwezi kama huu Mwezi Julai, pangekuwa Patashika Nguo Kuchanika.

Kwa mliokuwa hai mwaka 2015 na 2020, harakati za uchaguzi zilioesha shamla shamla kiasi kwamba wananchi wanasahau shida zao angalau kwa kipindi kifupi.

Mpaka inafika julai kila.mwananchi ameshatafuta kichinjio, kiparata au kitambulisho cha kupigia kura. Wengine hadi tunavisafiri umbali mrefu.

Nimezunguma mikoa ya kaskazini, kanda ya ziwa, kanda ya kati na Pwani kiukweli wananchi hawaonekani kuwa na Mwamko ule ule unaokuwepo wakati wa Mwaka wa Uchaguzi.

Kwa ujumla Public Psychology inaonesha kuna Depression au sonona ya Chaguzi zijazo. Zimekosa Mvuto, Ukimya umezidi.

Wewe huko uliko hali ikoje?
Nijuavyo mimi hayo mambo ya uchaguzi kuchangamka mnayahitaji huko CDM. Lkn kwa CCM muhimu kwao watarudi madarakani bila kujali uchangamfu wa uchaguzi. Sasa wewe kaa subiri uchaguzi uchangamke
 
Ukweli uchaguzi umedoda
 
Back
Top Bottom