Robertus Jacobus
Member
- Apr 6, 2024
- 61
- 61
Noted πβοΈCounselling Psychology Leo | Huzuni na Sonona
Je, umekuwa na huzuni nzito kwa muda mrefu bila kujua sababu? π
Kila mtu huhuzunika mara moja moja, na hilo ni la kawaida. Lakini sonona (depression) ni huzuni nzito inayodumu zaidi ya wiki mbili na kuathiri maisha yako ya kila siku. Sonona si udhaifu wala uvivu. Ni hali ya kiafya, na inatibika.
Dalili za kuangalia:
β Huzuni au ganzi karibu kila siku
β Kupoteza hamu ya vitu ulivyovipenda
β Uchovu na kukosa nguvu
β Kubadilika kwa usingizi na hamu ya kula
β Kujilaumu na kujiona huna thamani
β Kushindwa kuzingatia mambo
Unaweza kuanza hapa:
π± Fanya kitu kidogo kimoja kwa siku, kama kutembea dakika 10
π± Zungumza na mtu unayemwamini
π± Lala na kula kwa ratiba
π± Epuka pombe, kwani huzidisha huzuni
Lini utafute msaada?
Dalili zikidumu wiki mbili au zaidi, au zikiathiri kazi, masomo na mahusiano yako, muone mshauri nasaha au mtaalamu wa afya ya akili.
β οΈ Ukiwa na mawazo ya kujidhuru au kutotaka kuishi, mwambie mtu wa karibu au nenda hospitali mara moja.
Kuomba msaada ni ujasiri, si udhaifu. Hauko peke yako. π€
π +255748951191
π§ robertusjacobus1@gmail.com
Facebook | Instagram | Threads | LinkedIn: Robert James
Gusa hapa:Figma
#CounsellingPsychologyLeo #AfyaYaAkili #Sonona #UshauriNasaha #RJCounselling
Going where? Where are you going?Safi.
Keep going.
Kuna clips nne za Harmonize. Umeshaziona ngapi?Going where? Where are you going?
Kuna clips nne za Harmonize. Umeshaziona ngapi?
Kwani huu uzi hapa wa mwana Saikolojia amekuja na Clip ngapi za Harmonize na ameziweka wapi? Au mimi ndio sijaelewa kwamba Mwana Saikolojia alichokiandika ameandika nini ..keep going?Kuna clips nne za Harmonize. Umeshaziona ngapi?
I wrote 'keep going' as a compliment. I asked about the clips because you seem lost from what I wrote earlier.Kwani huu uzi hapa wa mwana Saikolojia amekuja na Clip ngapi za Harmonize na ameziweka wapi? Au mimi ndio sijaelewa kwamba Mwana Saikolojia alichokiandika ameandika nini ..keep going?
Sawa sawa.Counselling Psychology Leo | Huzuni na Sonona