Simba nzima ni mbovu wachezaji hadi viongozi,tuache kuokoteza makosa ya wachezaji uwanjani ili kufukia mapungufu ya timu.Tatizo la saido ni ubinafsi wa kukaa sana na mpira hadi anapoteza wakati namba anayocheza haitaki kufanya hivyo,ngoma yuko pole pole kufika kwenye matukio.lakini hayo ni mambo ya kawaida uwanjani ambayo yanarekebishwa na mwalimu.Tatizo la simba ni zaidi ya hao wachezaji wawili labda kama tunataka kuwaangushia mzigo wa lawama.