Unajua maana ya 'KUGECHA'
Tia pua yako katika hiyo ndoa ndo ukapogechiwa vizuri
Hivi mtoto wa sekondari unashindwa kumtoa wasi wasi bila kijiingiza kwenye ugomvi huo
Ukiuziwa kesi, useme umeonewa?? Hakawii kusema na wewe unammgega mkewe.
Don't stick your nose where you don't belong...
Too late,tayari baba ana taarifa na yeye ndio mwenye maamuzi sasa. Kama kweli alitaka kushauriwa au ana hofu na usalama wa mama yake asingemwambia baba yake at the 1st place. Wasubiri matokeo tu.Me
sitaki kuingilia iyo ndoa, ila mtoto yupo ktk wakati mgumu aisee!Afu
mama hajui kinachoendela lol! Anyway, ntamtoa wasi wasi kama
ulivyonishauri ila mhh, siku Cruzer ikipaki home patachimbika.
Kuna mwanamke jirani yangu kwa kweli amenisikitisha sana. Watoto wake na wangu ni marafiki sana na wanasoma shule moja. Mume wa huyo mama yuko mkoani kikazi na mama nae ni mfanyakazi ktk ofisi fulani hapa mjini.
Kuna siku kijana wake uyo mama alikuja kwangu analia. Nilipomuuliza why analia akadai mamake kampiga. Sikuona sababu ya kumuuliza mamake coz najua watoto kupigwa na wazazi ni kitu cha kawaida. Jana uyo mtoto kanifuata akasema anaomba nimsaidie ana shida kubwa. Akasema ameshamkuta mama yake mara nne akiwa anafanya mapenzi na wanaume asiowajua ili hali babake yuko mkoani. Anaogopa kuongea na mamake kwani ile siku alipigwa coz alimuuliza mamake kwa nini anafanya tena nyumbani na huwa anakereka sana na tabia ya huyo mama.
Sasa anasema kampigia simu babake na akamwambia kuhusu tabia ya mamake. Mdingi wake akamwambia asihofu, yeye anachukua likizo aje then atajua cha kufanya. Anadai baba alimhakikishia kuwa hawezi kumfanyia mamake kitu kibaya. Sasa mtoto anaogopa na anadhani babake alisema vile ili kumtoa hofu mtoto ila something bad may happen.
Anaomba nimsaidie ktk hili ili balaa lisitokee. Nilimwambia leo nikirudi nitamshauri. Ebu wadau nisaidieni, nifanyeje? Mimi sipo karibu sana na huyu mama, ni vile tu watoto wetu ni marafiki na tu majirani.
ANGALIZO: Baba ni Mkurya by tribe na by professional ni MWANAJESHI.
Kweli nilikosa cha kushauri yule mtoto